Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
WeConfession umeulizwa humu je umewai kula mbususu hujajibu Hilo swali
Is it an unfinished word or sentence
What do you mean guy
Ilikosewa.
sasa sijui tukuite nan kaka au dada lakini kwa vyovyote pole na hongera kwa elimu uliyoitoa/unayoitoa kutuasa hasa sisi vijana na kizazi chetu kijacho kuhusu haya mambo na namna gani ya kuwaepuka wale wote tunaowaamini sana kuwa viongozi wetu wa kiroho na kimwili
God bless TANZANIA
God bless AFRICA
#pinga ushoga na unyanyasaji wa kijinsia