Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

hivi kuna watu huwa wana zaliwa na muonekano huo outomatic...sikuwa nalijua hilo aisee kuna mmoja sehemu ukipiga nae picha huwezi dhania kuwa ni gay. ni mzuri kama mwanamke na ametakata vibaya mno shepu anayo na anajua kupangilia mavazi ya kikike yaka mkaa vyema...! huyu ninae mzungumzia usipo mfahamu na yeye asipo kwambia jinsia yake moja kwa moja unaweza kudhani ni mwanamke..!​
Nimesoma na watu ka.ma watano ambao wana hii mionekano ya kike kunzia primary mpaka form 6, na haiba za kike, ninaweza kusema kati yako kuna wawili ambao sasa ni mashoga wanajulikana, mmoja namuona sana mtandaoni, not for money, kwa sababu ni wa kishua kweli kweli, mwingine nasikia kaolrwa mombasa, hao wengine wana familia zao

Nilichokigundua, mashoga wengi wala hawana hizo haiba za kike, ni wachache ukute wamezaliwa na hormone nyingi za kike na wanajichukia, mashoga wanazalishwa na tabia za watu wengine, watoto kuingiliwa na ndugu, jamaa na marafiki ndio chanzo kikubwa...

Cha pili ni uraibu wa pombe. madawa ta kulevya n. K, unawapeleka vijana wengi wadogo kwenye ushoga
 
Wewe confession pole sana pengine nimeelewa vibaya ila ninachoona ,
Pengine kuna watu walikudhurumu utoto wako/uanaume wako hebu funguka kwa faida ya wengine mana wengine ni wazazi hapa tujue kabisa
Zama zangu si hizi
Nowdays most kids wanaingia mitandaoni kujifunza gay stuffs na kutaka relationships. If I tell you kuna mabazazi hutafuta kids below 18 utaamini and most of such kids ni wanafunzi wa sekondari. Vyuoni hali ni mbaya zaidi so pitia previous comments zangu utanielewa. Mfanye mtoto rafiki to a point akuulize chochote kile while at the same time mfundishe kuhusu vitu anatakiwa kukuambia i.e a stranger kumpa favour or kumtomasa cause end of the day huwezi protect your kids everywhere so teach them how to stay alert and report to you about any misconduct. If akikuambia ni mtu wa karibu don't panic or kumchapa chunguza
 
Huwa napata wasi wa uzi kama huu napoona upo trending...

Je vijana wanakataa na madaai ya jamaa hapo au wanakubaliana nae..

Naona umekua gumzo
 
Kuzuia vilainishi Ni kuhatarisha maisha ya wanaofanya bila vilainishi. Tunajidanganya hao watu hawapo na hawafanyi kitu ambacho si kweli. Wanafanya Tena wanahatarisha maisha Yao zaidi
Vilainishi vikiwepo wengi wataanza
Kupumuliwa ,bora visiwepo wa.sijitokeze members wapya.
 
Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako. Unapewa kilema cha maisha bila kujua.

MADHARA

1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo mikubwa na bongo vilainishi marufuku.

2. Ukipata matatizo, hospitali za bongo utaambulia matusi na kunangwa huku unaoza,

3. Hao mabazazi watakuchekea wakufumue Tu hawana muda na wewe wakishakuharibu,

4. Nawajua vijana kadhaa kwa sasa inabid wavae diapers kuzuia haja kutoka bila taarifa.

5. Mmoja anaomba michango akatibiwe India, waliokua wanampapasa wanamkimbia. Michango tunaombwa watu Baki. Sio fair!
Mkuu umemenena vyema.
Swali la nyongeza vipi wale wanafunga ndoa wao Inakuaje Kila siku anabinuliwa? Tupe uzoefu wako Kwa hili.
 
Nimesoma comments zote, again nimeobserve kitu kile kile....

Wakataa ndoa "sio wote" huwa mara nyingi wakijadili mada zinazohusu "gay people" wanakuwa na polite tone na adabu zote, they being smooth, curious na conclusion za "well wishing" (direct/indirect)

In contrary wakute akijadiliwa mwanamke mahali labda amezingua au amemzingua jamaa, huwa yanawatoka maneno makali mfululizo na matusi ya kutosha, na lazima wamuite huyo mwanamke "malaya", Hii tuhuma sio mara ya kwanza naitoa.... nimeitoa mara ya 3 now.

Hawa watu tatizo Lao si wanawake, wanatatizo lingine kabisa kwa kujua au kutokujua. Instead of being bitter kwa wanawake ni aheri mtoke "out of closet in peace".

I said what I said, niko makumbusho mje mnipige!
 
Sasa wamezidi kuzungumzia kila mda ndo nn? Tumechoka kusikiliza nongwa zao kila mda, aaah
Ushoga lazima uwe interested ili uuone.

Mfano kwanini tupo hapa? Tumekuwa interested kuusoma na kuujadili baada ya mada kuletwa, asiye interested hajafungua huu uzi. Inamaanisha nini? Kila aliyefungua huu uzi yupo interested na ushoga. Kwanini yupo interested? Hilo ni suala lake.

Binafsi nadhani ushoga upo zaidi mitandaoni kuliko mtaani ila ukiutafuta unaupata.

Juzi tupo tumekaa tunapata kinywaji, kama unavyojua bar, unakaa na yoyote ndo mwanzo wa kufahamiana, sasa akapita mwanaume, akakaa kiti cha pembeni, mzee mmoja tuliyekuwa tumekaa nae akasema mmemuona huyo kijana? Ni shoga.

Nikasema acheni kujudge watu, yule mbona ni mwanaume? Na amevaa vizuri kama mwanaume anavyopaswa kuvaa?

Nikaambiwa embu mtaame vizuri, nilivyokuwa interested kuutafuta ukike ndani yake kweli niliuona ila ilibidi kuutafuta otherwise nisingeuona kabisa. Mbele yangu alikuwa ni mwanaume ila out of curiosity nikaanza kuutafuta ukike na nikauona.

Baadae tukaondoka tukamwacha yule mzee, kesho yake wakati wa kutoa hangover ndo mwenzangu ananiambia kwamba yule mzee aliyetuambia kuwa ni shoga baada ya sisi kuondoka alionekana na yule shoga, hatujui ilikuwaje ila ndo ilikuwa kampani yake.

Ukweli ni kwamba mashoga wana wanaume, na huenda wanaume wanaopinga mchana ndio usiku wanautafuta na kuupata.
 
Nimesoma na watu ka.ma watano ambao wana hii mionekano ya kike kunzia primary mpaka form 6, na haiba za kike, ninaweza kusema kati yako kuna wawili ambao sasa ni mashoga wanajulikana, mmoja namuona sana mtandaoni, not for money, kwa sababu ni wa kishua kweli kweli, mwingine nasikia kaolrwa mombasa, hao wengine wana familia zao

Nilichokigundua, mashoga wengi wala hawana hizo haiba za kike, ni wachache ukute wamezaliwa na hormone nyingi za kike na wanajichukia, mashoga wanazalishwa na tabia za watu wengine, watoto kuingiliwa na ndugu, jamaa na marafiki ndio chanzo kikubwa...

Cha pili ni uraibu wa pombe. madawa ta kulevya n. K, unawapeleka vijana wengi wadogo kwenye ushoga
Sio mchezo kwakweli...! Kuna mmoja tulikuwa tunasoma nae ukizungumza nae kwenye simu kama humfahamu anaweza akakupandisha hisia za mapenzi🤣🤣🤣🤣

Siku moja aliwahi kumtongoza rafiki yetu mwengine ili akamfukue mtaro na hiyo njemba iliyo tongozwa ikaenda kumla kweli 🤣🤣🤣​
 
Nimesoma comments zote, again nimeobserve kitu kile kile....

Wakataa ndoa "sio wote" huwa mara nyingi wakijadili mada zinazohusu "gay people" wanakuwa na polite tone na adabu zote, they being smooth, curious na conclusion za "well wishing" (direct/indirect)

In contrary wakute akijadiliwa mwanamke mahali labda amezingua au amemzingua jamaa, huwa yanawatoka maneno makali mfululizo na matusi ya kutosha, na lazima wamuite huyo mwanamke "malaya", Hii tuhuma sio mara ya kwanza naitoa.... nimeitoa mara ya 3 now.

Hawa watu tatizo Lao si wanawake, wanatatizo lingine kabisa kwa kujua au kutokujua. Instead of being bitter kwa wanawake ni aheri mtoke "out of closet in peace".

I said what I said, niko makumbusho mje mnipige!
Wacha we. Unafiki kiwango cha lami. Unakataa ndoa ila...... hahaha
 
Kusema Kataa ndoa na ushoga ni pande mbili za shilling
 
Kusema Kataa ndoa na ushoga ni pande mbili za shilling
Umeona hilo neno "sio wote"? Mimi Binti kiziwi nduguye Chura kiziwi nikitoa tuhuma huwa nimechunguza.... two of them nimeshawaqoute kwenye different thread kuwa mbona mnajadili hii mada kisoft soft hivyo wakati kwenye mada za wanawake kuzingua mnatoa matusi mfululizo. Waje hapa wabishe.

Sina tatizo na wakataa ndoa, pengine mimi ni mmoja wao, but nina tatizo na wakampenia kataa ndoa, like we mwenzio asipooa unapata nini? Mtoto wangu wa kiume asipooa wewe baba Morgan unapata nini? Akioa unakosa nini? And yet nikukute kwenye mada za gays na na wale waliobadili jinsia sijui wanaitwaje, ukijadili kwa furaha halafu nisipate questions marks?? No way!

Ngoja nikwambie kitu Baba Morgan, JF hatufahamiani, lakini amini kuwa maandishi yanatutambulisha, ukitaka kujua uongo wa kitu au ukweli wake angalia consistence na inconsistence factors.

Sitakufundisha kila kitu 😅
 
Back
Top Bottom