Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kwahiyo mzee baba kwa 10m unaachia 👁️????
Dah million sijawahi shika mtuu anipe million kumi na chukuwa kwani marinda kitu gani ya kunyimana jameni...ukinyima binadamu funza watafaidi 🤣🤣🤣🤣
 
Huna ubingwa mzee. Lindaless😀😃😄😁 ndio maana unapendaga sana kuongelea papuchi kumbe unajificha kwenye kivuli chako.
Wewee bwana mbususu na linda sio vitu vya kunyimana...usipoliea na binadamu vitaliwa na funza tuu
 
hapo kwenye kuhamia kwa watoto sijui siku hizi kuna upepo gani kwa kweli...juzi nimeona video kitoto cha miaka nadhani haizidi 7 kinapelekewa moto na chenyewe kina furahi....tena kwenye kinyeo na kilikuwa kitoto cha kike roho ili niuma sana...anae mfanyia hicho kitendo ni mtu mtu mzima mwenye miaka zaidi ya 35​
Wanaume nowdays wamekubwa na shetani gani cijui au cjui kwavile wao hawazai wala kubeba mimba aseee I am a mother na zinapokuja issue za homosexuality, urawiti NAUMIA SANA SANASANA HUWA NAMUOMBA MUNGU TU ALINDE WATOTO WETU DHIDI YA HUU UKATILI
MAOMBI NA KUFUNGA KUNAHITAJIKA SANA KUNUSURU VIZAZI VYETU.
 
All
Mtu mwenyewe kaamua kuliwa sasa utafanyaje. Hili swala linazidi kukomaa miaka michache ijayo kila man atakuwa na man wake maadamu Serikali imeshashindwa, wakigusa kidogo tu haki za binadamu wananyoosha makucha basi wacha wainamishane
Vilevile mnajisahaulisha sana mnapozungumzia hawa watu huwa hamuwazungumzii mabasha zao sijui wanajifil* wenyewe hawa ama lah hapo mnaniacha hewani

Mtu anajifanya shehe au kasisi kumbe anakula vitoto vya kiume, wengine wamelawitiwa kwa nguvu wakiwa wadogo hili ni swala mtambuka
Ukianza kulifuatilia utasokomeza watu wengi sana jela, makasisi na mashehe, waalimu, ndugu za waathirika watajaa magereza
In all HATUPASWI KUONEA HURUMA WAHALIFU COZ ILIBIDI WAONE HURUMA KWA WATENDEWA ,jamii IELIMISHWE ZAIDI kuondoa hz janjajanja za kijinga.
 
Ni kweli mademu siku hizi wanatoa sana zamani ilikuwa lazima uombe tena kwa kubembeleza na kutoa ahadi kubwa kubwa ili kupitishwa huko lakini siku hizi wenyewe wanatoa password hadi raha.
Sasa mnasakama mashoga kwanini? Wapo wanaotaka vinyeo vya me na sio Ke, uhuru ni wao.
 
Vijana wa sasa hata ukimpa elf 20 tu
Dhamana anaweka Tigo

Kule telegram ndo kumechafuka
Kuna group Lao linaitwa pamoko nishawah shika simu ya dogo mmoja hiv alikuwa anacheza mpira


Yaan ni sodoma wanaombana bila wasi
Nawee uko huko, unajistukia tyuuh hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lol
 
Ushoga lazima uwe interested ili uuone.

Mfano kwanini tupo hapa? Tumekuwa interested kuusoma na kuujadili baada ya mada kuletwa, asiye interested hajafungua huu uzi. Inamaanisha nini? Kila aliyefungua huu uzi yupo interested na ushoga. Kwanini yupo interested? Hilo ni suala lake.

Binafsi nadhani ushoga upo zaidi mitandaoni kuliko mtaani ila ukiutafuta unaupata.

Juzi tupo tumekaa tunapata kinywaji, kama unavyojua bar, unakaa na yoyote ndo mwanzo wa kufahamiana, sasa akapita mwanaume, akakaa kiti cha pembeni, mzee mmoja tuliyekuwa tumekaa nae akasema mmemuona huyo kijana? Ni shoga.

Nikasema acheni kujudge watu, yule mbona ni mwanaume? Na amevaa vizuri kama mwanaume anavyopaswa kuvaa?

Nikaambiwa embu mtaame vizuri, nilivyokuwa interested kuutafuta ukike ndani yake kweli niliuona ila ilibidi kuutafuta otherwise nisingeuona kabisa. Mbele yangu alikuwa ni mwanaume ila out of curiosity nikaanza kuutafuta ukike na nikauona.

Baadae tukaondoka tukamwacha yule mzee, kesho yake wakati wa kutoa hangover ndo mwenzangu ananiambia kwamba yule mzee aliyetuambia kuwa ni shoga baada ya sisi kuondoka alionekana na yule shoga, hatujui ilikuwaje ila ndo ilikuwa kampani yake.

Ukweli ni kwamba mashoga wana wanaume, na huenda wanaume wanaopinga mchana ndio usiku wanautafuta na kuupata.
Shoga hasa msenge kwenda sehemu za starehe za umma, inanikeraa yaan ni wanajichoreshaaa tyuuh aaaah.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Sio mchezo kwakweli...! Kuna mmoja tulikuwa tunasoma nae ukizungumza nae kwenye simu kama humfahamu anaweza akakupandisha hisia za mapenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Siku moja aliwahi kumtongoza rafiki yetu mwengine ili akamfukue mtaro na hiyo njemba iliyo tongozwa ikaenda kumla kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]​
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom