Thanks
Confession I appreciate your perspective. Fully agree, our society is brutal..extremely unforgiving to these people. Mimi nadhani hata kama we don’t approve this behavior kama jamii basi let’s have a serene environment to have this uncomfortable conversation, for the sake ya vizazi vya sasa na vya kesho. Wasiwasi wangu ni kwamba kwenye huu mjadala, society imefocus kwenye condemnations, na so far hili halijasaidia kitu. Maybe it’s high time for dialogue.
Ila pia watu kama nyinyi on the other side of the fence, mnaweza kusaidia kuielimisha jamii.
Let’s continue learning