Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

GOd forbid..God help us all. God protect our kids.
HIz comments humu zinatisha na kuogofya sana.
Mungu tusaidie
Nobody is safe
You said you have a male child, muombee tu cause my parents ain't in any way imperfect but ni personal struggles ambazo nobody in my family even saw redflags when I was passing through my worst days. God is merciful atakusaidia
 
I ain't Saint!

Username isikuchanganye,ila mnazingua sana wajomba jirekebisheni hakuna tabia isiyoachika acheni kujiliza liza.
I'm not here kujiliza liza
I'm not here to seek sympathy
I'm only sharing a part of my story and answering some questions zinazoweza wasaidia watu.
I'm happy some wanaelewa and for those who don't, it's okey too and I won't beg you to treat me lightly or understand me, just do you guy, it's completely fine cause I didn't expect anything less than that from most people
 
Hata kama sote si watakatifu ila shoga si wakumuonea huruma hata iweje na hana haki hata yakuishi mbwa wale ndiyo chanzo cha uharibifu wa watoto na vizazi vijavyo waamini kuwa ni kawaida kuwa vile na ni halali sote tunadhambi but not to that extent.
 
Nobody is safe
You said you have a male child, muombee tu cause my parents ain't in any way imperfect but ni personal struggles ambazo nobody in my family even saw redflags when I was passing through my worst days. God is merciful atakusaidia
Ni kweli mkuu. Kwakwel linapokuja suala la malezi ya watoto, hapo hata machozi huwa yananitoka nikiwa namuomba mwenyez Mungu, ni kitu kigumu sana sana ,cz kila mtoto anahitaji kelelewa na umfaham na kumsaidia in person, u cant just do the overall parenting stuff. Hapa ni pagum sana. Kwakwel ni kazi nzito na huwa mada hiz nakuwa mpole tofaut na zingine
 
Hata kama sote si watakatifu ila shoga si wakumuonea huruma hata iweje na hana haki hata yakuishi mbwa wale ndiyo chanzo cha uharibifu wa watoto na vizazi vijavyo waamini kuwa ni kawaida kuwa vile na ni halali sote tunadhambi but not to that extent.
Haya mambo haya yanachanganya sana kwakwel..yanakera na kuogopesha kwa wakat mmoja. Ila all in all Mungu atusaidie na pia sis tutimizr wajibu wetu kama wazaz na jamii. Jambo hili lapaswa kukemewa kwa nguvu zoote, ila sasa limekaa kimtego, maana unapolikemea unajikuta ndio kama unalipa promo 😇😇 daah!!
 
Ni kweli kabisa! Nalijua na kulielewa hilo, maana waswahili tunayaweza.

Anyways!... Ukimuona mwanaumee na yeye anamuingilia mwanaume mwenzie ujue ana changamoto ya Afya ya akili pasipo na yeye mwenyewe kujua.
Angalizo hapa, ukimuonea sana huruma shoga anaweza akatumia advantage huruma yako hatimae akakuletea design sio. Sasa ni bora umshtukie mapema coz ukichelewa wadau wanaweza wakadhani na wewe pia upo kwenye chama ... either ndo basha wake au nyote mnafumuliwa pamoja!

We mshauri tu ila usiweke sana ukaribu nae kaka, atakuchafua!
 
Mbona kama unafosi sana ionekane halali mtu kuwa shoga si swali lakumuuliza mtu hilo kwa ishu ya ushoga ni yakukemea haifai hata kutetewa wala kuonewa huruma kiumbe kinachoitwa shoga hata awe shogani shoga tu hafai kabisa jinsia ni mbili tu me na ke who is gay fucking juice acheni kulazimisha uhalali wa ushoga.
Hujajibu swali kijana,, narudia, tuseme umegundua kua baba yako mzazi ni GAY. au Kaka.yako.wa kuzaliwa tumbo moja ni GAY, au kijana wako wa kumzaa ni GAY...
embu niambie process au namna ambayo utafanya na naamin una watoto, au kama.huna utakuja tu kua nao...lazima...embu niambie boss namna utakavyo handle situation..
 
5 years back nilitoa thread humu ya kuelezea struggles zangu while seeking for help.
I went through a very hard battle but after a while nikaona getting too serious with it inaninyima furaha cause I was miserable then I decided to live my life with or without it
So yeah nilipambana and maybe I still do but I decided kutoipa concentration or high importance in my life ili niishi peaceful
Hongera sana kwa kuwa mkweli na imani Mungu atakusaidia siku moja na wewe upate family yako🙏
 
Haya mambo haya yanachanganya sana kwakwel..yanakera na kuogopesha kwa wakat mmoja. Ila all in all Mungu atusaidie na pia sis tutimizr wajibu wetu kama wazaz na jamii. Jambo hili lapaswa kukemewa kwa nguvu zoote, ila sasa limekaa kimtego, maana unapolikemea unajikuta ndio kama unalipa promo 😇😇 daah!!
Wazazi ubusy ndiyo chanzo huna muda hata wakukaa na mtoto au hata kwa mwezi mara moja kihudhiria shule mana shule kama inapromote hizo mambo utajua mazingira yake sasa hivi kuna mpakaa baadhi ya shule zinan nembo ya upinde still kuna mzazi anampeleka mtoto wake hapo 😠😠 seriously hivi kuna muda wazazi kama wao wenyewe wanatia uzito.
 
Yaan siku hizi kila baada ya muda lazima ije story ya Gays, sio mtandaoni hata huku mtaani, Gayism imekua ndo trending issues.

Kwani nani hajui faida na hasara zake? Kinachokera mtu mzima akiyeamua kutumia mwili wake kwa namna inayo mfaa yeye binafsi, afu wanakuja watu wengine kuanza kumzonga na kumnangaa.

Kila mtu atalinda mwili wake, afu huwa mnakataza kwa kiume tyuuh, vipi hawa kike? Siku hizi wanagawa kinyeo km hawana akili nzuri na ishakua fashion, ndo hao walaji wakikosa kwa ke, wanahamia kwa me, wengine wanavuka mipaka na kulawitii watoto wadogoo wasio na hatia, mxxxxxxiiiiiiieeeeeew.

Acheni UNAFIKIII.
Nimefuatilia patiently comments kwenye huu uzi ili kupata opinion yako tu Mkuu. 😂😂
 
Anajifanya yeye ni shoga class sio kama mzigua wetu cocastic
cocastic ni smart kid and he still has a right to live his life according to what he sees as suitable for him the same way as I do. I respect him for that
About kiingereza ni lugha kama kindengereko but if you think kukiongea is a way of presenting yourself as a classic guy then ni misconception zako
 
Nina rafiki yangu miaka mitano nyuma alipata ajali ilompelekea kufa kwa uume wake aisee situation alopitia that guy na sasa alivyo you can't believe kama ni yeye alajawa na hofu yakudharauliwa na kukataliwa lakin finally hakuuacha uhalisia and mpaka sasa hata umcheke bado amejikubali na hali anadunda na wala hakuacha kuhalalisha awe shoga mana wapo ambao hawaelewi situation alopitia wanamtuhumu moja kw moja kuwa shoga ila wala sasa miaka mitano he still standing as a men, what i am trying to say is if you're a men you'll always be no matter what.
 
Acheni hizo nyinyi mboni mnawafira Wanawake baada ya kuwafira hua mnawaambia hivyo au sababu ni Wanawake basi kuingiliwa nyuma ni sawa ni haki yao?
Nawewe ushapoteza ubingwa dah
 
Aisee kumbe ndio inakuwa hivyo mazee ni ukoo mzima....ila hizi nadharia za waafrica wana sijui kwa nini kwangu zinakuwa na ukakasi🤣🤣🤣🤣
Anyways yote maisha, million kumi wengine hatujui lini takuja kuigusa kwa kweli maana ajira mtihani kweli kweli
Acha ungese wewe...😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom