Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Why apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
Kmmk
 
Alafu huwezi amini kuna wasenge wanatoa bure hata siyo mpaka pesa.

Niliwahi tongozwa na shoga mwaka 2016 nikataka nimpeleke police
Kuna kesi ilifika polisi jamaa anashitaki walikubaliana kubanduana yali aliwe yeye then badae amle mwenzake, yule jamaa (mlalamikaji) akaliwa bila hiana ila ilipofika zamu ya kumla mlalamikiwa akagoma😂
 
Kuna mmoja mtumishi mwenzangu mi supervisor wake alitaka kunizoea sana sasa zile pigo nikawa kama namstukia hivi, ila kwa vile sikuwa na uhakika nikakausha, supervisor aliyeniachia kiti ndo akaja kunieleza kila kitu, nlifuta namba na akipiga sipokei
 
Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako wenyewe mnaita "KUCHANJA" Unapewa kilema cha maisha bila kujua.

MADHARA

1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo mikubwa na Manii yanabaki humo humo mpaka kuoza na bongo vilainishi marufuku.

2. Ukipata matatizo, hospitali za bongo utaambulia matusi na kunangwa huku unaoza,

3. Hao mabazazi watakuchekea wakufumue Tu hawana muda na wewe wakishakuharibu,

4. Nawajua vijana kadhaa kwa sasa inabid wavae diapers kuzuia haja kutoka bila taarifa.

5. Mmoja anaomba michango akatibiwe India, waliokua wanampapasa wanamkimbia. Michango tunaombwa watu Baki. Sio fair!
Sehemu Pekee Ambayo si approve kijana yeyote wa kiume au wa kike ni kuwa mlevi

Ulevi una madhara makubwa sana.
 
Ka
Nimesoma comments zote, again nimeobserve kitu kile kile....

Wakataa ndoa "sio wote" huwa mara nyingi wakijadili mada zinazohusu "gay people" wanakuwa na polite tone na adabu zote, they being smooth, curious na conclusion za "well wishing" (direct/indirect)

In contrary wakute akijadiliwa mwanamke mahali labda amezingua au amemzingua jamaa, huwa yanawatoka maneno makali mfululizo na matusi ya kutosha, na lazima wamuite huyo mwanamke "malaya", Hii tuhuma sio mara ya kwanza naitoa.... nimeitoa mara ya 3 now.

Hawa watu tatizo Lao si wanawake, wanatatizo lingine kabisa kwa kujua au kutokujua. Instead of being bitter kwa wanawake ni aheri mtoke "out of closet in peace".

I said what I said, niko makumbusho mje mnipige!
Kataa Ndoa kuna namna huwaelewi 😂
 
Aisee mzazi mwenzangu anafosi nimle tigo, hajawailiwa nikikataa huwa hadi analilia, naogopa next time akibeba mimba akaenda kujifungua nitapata aibu. Huyu nimemjengea nyumba kabisa so nina malengo naye. She is in her 18 yrs mm ni kama baba yake nipo 40s. Namkwepa kiaina aina
 
Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako wenyewe mnaita "KUCHANJA" Unapewa kilema cha maisha bila kujua.

MADHARA

1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo mikubwa na Manii yanabaki humo humo mpaka kuoza na bongo vilainishi marufuku.

2. Ukipata matatizo, hospitali za bongo utaambulia matusi na kunangwa huku unaoza,

3. Hao mabazazi watakuchekea wakufumue Tu hawana muda na wewe wakishakuharibu,

4. Nawajua vijana kadhaa kwa sasa inabid wavae diapers kuzuia haja kutoka bila taarifa.

5. Mmoja anaomba michango akatibiwe India, waliokua wanampapasa wanamkimbia. Michango tunaombwa watu Baki. Sio fair!
Kina zeruzeru wa nyuma mwiko hao ndio wanaotembea wamevaa diapers
 
Back
Top Bottom