Nimesoma comments zote, again nimeobserve kitu kile kile....
Wakataa ndoa "sio wote" huwa mara nyingi wakijadili mada zinazohusu "gay people" wanakuwa na polite tone na adabu zote, they being smooth, curious na conclusion za "well wishing" (direct/indirect)
In contrary wakute akijadiliwa mwanamke mahali labda amezingua au amemzingua jamaa, huwa yanawatoka maneno makali mfululizo na matusi ya kutosha, na lazima wamuite huyo mwanamke "malaya", Hii tuhuma sio mara ya kwanza naitoa.... nimeitoa mara ya 3 now.
Hawa watu tatizo Lao si wanawake, wanatatizo lingine kabisa kwa kujua au kutokujua. Instead of being bitter kwa wanawake ni aheri mtoke "out of closet in peace".
I said what I said, niko makumbusho mje mnipige!