Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Ni kweli alafu Huwa wanatumia dawa flani za kuongeza hormones za kike, hivyo unakuta nili shoga lkn Hana tofauti na mwanamke, Kuna yule mmoja wa bongo sijui anaitwa nani??? Ila ndio mfano huo, yaani kiufupi wazungu ni washenzi Sanaa wanamkufuru Mungu kupita kiasi

Huko Thailand niliangalia travel vlog moja kule YouTube jamaa anawaonesha aisee huwezi watofautisha na wanawake wa kawaida na hata ukiwekewa uchague kati ya gay na demu wa kawaida ukashindwa kuwatofautisha....tulinde vizazi vyetu kwa gharama yoyote ile ikibidi
Thailand uwe makini
 
Wadada wengi naona wanatoa tigo,hizi habari za kwamba wanaharibike sehemu zao za nyuma,nadhani haipo kwa kiwango kikubwa kama inavyosemwa.Mara watavaa pampasi, mara wanaume watapigwa bomba,mi naona kama stori tu,kwa umri wangu nasikiaga tu miaka na miaka.
Ingekua hayo madhara yapo kweli,kwa huku kushamiri kwa watu wanavyofanya mapenzi kinyume na maumbile,mahospitalini kungekua kunajaa.
 
Kwani mpaka watoe tangazo wakivaa pampaz
 
Ingejulikana tu,hata wanapoenda kufanya mapenzi,si wangekua wamevaa,lakini ndo wanavaa vimini na tigo wanatoa,hii inafanya kuamini madhara hayo hapo,inakua changamoto, yaani madhara yanakua too theoretical.
Wadada na wakaka wengi sana wanafanya hiyo michezo.
 
Point yako haswa ni nini?
 
Point yako haswa ni nini?
Isemwe tu kua ni kinyume na mila na desturi zetu,na si kusema madhara ambayo mtu akimuona shoga au mdada anayefanya mapenzi kinyume na maumbile,anaproof wrong.
La sivyo watu watasema wale wanaoorodhesha MADHARA ya kuvaa pampasi na mengineyo,ni waongo hivyo kuleta kupelekea kupngezeka kwa vitendo hivyo.
 
Wewe ni mmojawapo?
 
Back
Top Bottom