Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee so unapumuliwa kisogoWhy apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
🙏🏽Asee so unapumuliwa kisogo
😂😂Ofa za Bia/mbege huko migombani. Chukueni tahadhari wa nyeti zenu
Pole mkuu.*wakuu nimepoteza lesseni ya gari na pass ya kusafiria na documents nyingine muhimu. Wamenitaka nikatangaze kwenye gazeti la serikali. Naomba kuuliza hapo zilipo ofisi za gazet la serikali kwa dar es salaam.
QmmkeOne of the misconception most of you have is thinking kwenye gay relationships kuna shortage of men
Not everyone commenting humu is desperate to get laid cause some of us tunapress one call away and the real man 'll come desperately with money to spend on everything.
Na aweza kuwa your boss, political leader, friend, brother, uncle and even a father so usidhani we are sleeping with aliens
Vipi Hip hopQmmke
Hao wanawake na wanaume huwa wanalazimishwa kuingiliwa??Solution ni wanaume kuacha kuwaingilia wanawake na wanaume na watoto. Hii kusema malezi sio solution sababu huyo mtoto hutokuwa naye muda wote na wewe hutoishi duniani muda wote.!!
Wale wanaobakwa huwa wanaomba kubakwa??Hao wanawake na wanaume huwa wanalazimishwa kuingiliwa??
sio lazima. we peleka gazeti la mwananchi. ukipita mwezi unawarudia na kipande cha hilo gazeti.*wakuu nimepoteza lesseni ya gari na pass ya kusafiria na documents nyingine muhimu. Wamenitaka nikatangaze kwenye gazeti la serikali. Naomba kuuliza hapo zilipo ofisi za gazet la serikali kwa dar es salaam.
hii ni fact bila chengashida ipo kwa wamama ambao watapata ujauzito wakat wa kujifungua huwa ni mziki,mavi hayazuiĺiki
Kesi za kubakwa ni very rare naamini idadi kubwa hio michezo walitaka wenyeweWale wanaobakwa huwa wanaomba kubakwa??
Hizo ni kesi chache kwenye jamii kuliko wingi wa mashoga na wanawake wanaoingiliwa kinyumeKwani wanaowaingilia watoto inakuwaje?
Si ndo hao wanaofanya uzalishaji wa mashoga.!!
Vipi wale wanaowaingilia wagoni wao nao wanakuwaga wanawake??
hakika mkuu, nikiwa skuli nilishuhudia watoto wakishua zaidi ya wa5 mashoga, kulikuwa na mmoja ni mtoto wa kigogo serikaliniUzungu ndio umewaaribu fatilia watoto wa kishua wengi ndio magasho
Diamond (Mama P. Diddy) anasemaje?Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako wenyewe mnaita "KUCHANJA" Unapewa kilema cha maisha bila kujua.
MADHARA
1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo mikubwa na Manii yanabaki humo humo mpaka kuoza na bongo vilainishi marufuku.
2. Ukipata matatizo, hospitali za bongo utaambulia matusi na kunangwa huku unaoza,
3. Hao mabazazi watakuchekea wakufumue Tu hawana muda na wewe wakishakuharibu,
4. Nawajua vijana kadhaa kwa sasa inabid wavae diapers kuzuia haja kutoka bila taarifa.
5. Mmoja anaomba michango akatibiwe India, waliokua wanampapasa wanamkimbia. Michango tunaombwa watu Baki. Sio fair!
NB: Shetani yupo kazini