Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mtu mpumbavu hupimwa kwa yale yamtokayo moyoni mwake. Au hupimwa kwa chatting stylist yake.
Binti unachat naye kidogo anaanza kuandika njaa inaniuma. Hajala anasema , anahitaji umtumie elfu 5 ya kula.
Huyu ni binti mpumbavu, ukimwoa mtazaa watoto wajinga wenye mtindio wa akili.
Elfu 2 anaomba akale. Inamaana bila wewe angekufa?
Miaka yote ya nyuma aliishije?
Mapenzi si ajira. Ila ni wajibu wapenzi kukwamuana ili umaskini uwatoke wote ila si kulia oooh sijala mpaka sasa.
Hivi unatarajia kwa akili hizo tumbo lake litatoa professor?
Akili za kila siku njaa inauma ndo zitoe genius!!!
never