Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Bora turaruane tu kila mtu asambaratike kwake , ndoa zilikua zinalindwa na mifumo dume hapo kale , na wanaume wengi walivutiwa na huo mfumo , kwa sasa hakuna la kuvutia ni kupandishana sukari tu
 
dah, rafiki yangu upweke unaua....kipindi kigumu sana
 
Now una mdagani kwenye usherati wenu.
 
Yawezekana faida za ndoa zikawepo chache tu ila hii ya kufa bila msaada ni kufilisika kwa hoja ndani ya ya hiyo taasisi ya ndoa
Sawa ila mimi hoja yangu ni kufa haraka sbb ya upweke.
Kwa afrika wanaokufa kwa upweke ni wachqche kulinganisha na huko ughaibuni ila hizi kampeni zenu za kataa ndoa zitaleta laana ya maisha ya upweke .afrika.Itafikq sehemu watu hao kataa ndoa bila vidonge vya kutuliza akili siku haikai sawa.Inabidi hii kampeni ifanyiwe marekebisho. Ni kampeni ya 'kishetani'. Ikikubalika itaharibu maisha ya wanaume wengi
 
Sio kweli comment yangu inayofuata imejibu hili
 
Bora turaruane tu kila mtu asambaratike kwake , ndoa zilikua zinalindwa na mifumo dume hapo kale , na wanaume wengi walivutiwa na huo mfumo , kwa sasa hakuna la kuvutia ni kupandishana sukari tu
Maisha ni mafupi kung'ang'ania mtu hakupi furaha. Hachangii furaha kwenye maisha yako ni apite kushoto.Kwanza mtu hasa sisi wanawake vyeti vya ndoa ndo vinatupa kiburi ila ikiwa tunaishi maisha ya 'kizinzi' ya saa yeyote unaweza kusepa adabu itakuwepo.
 
Dah kwa sasa hapana labda nifike 60 huko ili niteseke kidogo na kufa, ngoja kwanza nimlee binti yangu kwa viwango ninavyovitaka
 
Nchi za Sweden Norway na Finland , ndio nchi watu wapo single kwa wingi na wanaishi maisha marefu ,tena wapo kwenye chati ya juu mno
Hao watu wanaishi maishq ninayoishi mimi na yana jina kabisa.Maisha ya sogea tuishi yanatambulika kabisa huko kwenye marital status.
Sweden wana vi style vyao vizuri vya mahusiano navipenda.

Kuna kitu wanaita sambo.Hii mnaishi sogea tukaze no ndoa then wana style inaitwa sar bo.Hii mnaweza funga ndoa ila kila mtu anaishi kwake then mnakua na ratiba za kukutana.

So wana maisha marefu sbb sio wapweke.
 
Dah kwa sasa hapana labda nifike 60 huko ili niteseke kidogo na kufa, ngoja kwanza nimlee binti yangu kwa viwango ninavyovitaka
Kila la heri mkuu Uzuri nyie wanaume hata mkiwa 60 unapata pisi yakuweka ndani bila shida.😃
 
Wanandoa wengi wana shinda bar mpaka usiku wa manane jiulize kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…