Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
Upo sahihi.Sio kweli, kuna ambao pia wameuwawa na mwenza wake wa ndoa maelfu kwa maelfu , hivyo kufa bila msaada pia sio sababu yenye mashiko
Upo sahihi.Sio kweli, kuna ambao pia wameuwawa na mwenza wake wa ndoa maelfu kwa maelfu , hivyo kufa bila msaada pia sio sababu yenye mashiko
The opposite is true. People are getting disillusioned with marriage.Sawa ila mimi hoja yangu ni kufa haraka sbb ya upweke.
Kwa afrika wanaokufa kwa upweke ni wachqche kulinganisha na huko ughaibuni ila hizi kampeni zenu za kataa ndoa zitaleta laana ya maisha ya upweke .afrika.Itafikq sehemu watu hao kataa ndoa bila vidonge vya kutuliza akili siku haikai sawa.Inabidi hii kampeni ifanyiwe marekebisho. Ni kampeni ya 'kishetani'. Ikikubalika itaharibu maisha ya wanaume wengi
Yana kuzwa mno na wanao yakuza wapo kwenye ndoa na wanashikia bango mnoMimi sio kataa ndoa ila nadhani madhara ya kuishi bila ndoa yanakuzwa sana.
Hii ya kufa bila msaada ni utapeli bwashee, baada ya ndoa kuonekana ni utapeli , hii ya kufa bila msaada ndio imebaki kama kitisho
😄😄Unataka maisha marefu ili uvumbue nini ?🤔 akili za wanawake ni upumbavu mkubwa sana
📌Bora turaruane tu kila mtu asambaratike kwake , ndoa zilikua zinalindwa na mifumo dume hapo kale , na wanaume wengi walivutiwa na huo mfumo , kwa sasa hakuna la kuvutia ni kupandishana sukari tu
Sio kwa ubaya ila wewe sio mtu sahihi kuongea haya mkuu sbb kama ww sio kataa ndoa unajuaje madhila ya kuishi bika ndoa?Mimi sio kataa ndoa ila nadhani madhara ya kuishi bila ndoa yanakuzwa sana.
Ndani kunakuwa pamoto mkuu..Wanandoa wengi wana shinda bar mpaka usiku wa manane jiulize kwa nini?