L ldleo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 1,116 Reaction score 1,121 Jan 16, 2023 #1 Kijana wa China Chang Yangyang, ambaye ni mrithi wa utamaduni usioshikika wa China anaonyesha kazi zake za sanaa ya kukata karatasi zinazohusu mada ya Sungura katika kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Sungura.
Kijana wa China Chang Yangyang, ambaye ni mrithi wa utamaduni usioshikika wa China anaonyesha kazi zake za sanaa ya kukata karatasi zinazohusu mada ya Sungura katika kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Sungura.
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,893 Reaction score 20,089 Jan 16, 2023 #2 Mambo ya jadi......muafrika na wewe fata jadi zako ukoromewe na watu wa dini za wakoloni
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Jan 16, 2023 #3 Kweli kabisa achana na waimba mizimu wanaibia watu makanisani.