Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ni miaka ya 2000/2001 huko wilayani kwetu jamaa mmoja aliyeitwa Ibu aliibua taharuki mtaani baada ya kubuni style ya kuwavutia wadada.
Alikuwa akivaa shanga na kukatika viuno vya kiwango cha SGR.
Sasa kila dada akipitiwa anaweza kusimulia kuwa Ibu ni moto wa kuotea mbali. Basi wakawa wao ndio humfuata idi ili awaonyeshe shanga.
Ibu hapo kipengere cha kuwaonyesha shanga na ujuzi wa mauno basi akashituka kamaliza mtaa.
Wadada ni watu wa ajabu sana.
Halafu kila aliyepitiwa kasema kuwa yeye kasimuliwa tu.