Kijana wa kidato cha tatu amuua binamu yake kwa sababu ya mwanamke

Kijana wa kidato cha tatu amuua binamu yake kwa sababu ya mwanamke

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Kijana wa miaka 20 anashikiliwa na polisi Mjini Siaya kwa kosa la kumchoma kisu na kumuua binamu yake aliyejulikana kama Otieno Nyaeka mwenye miaka 45

Afisa wa Polisi Harriet Kinya anafafanua kuwa, kifo hicho kilitokana na ugomvi ulioibuka baina ya binamu hao ambao inaelezwa walikuwa wanagombania mwanamke.

Afisa huyo aliweka bayana kuwa kijana aliyeuawa alichomwa kisu maeneo ya kifuani na begani

Aidha, Mwanafunzi huyo amekamatwa na kufikishwa katika kituo cha Polisi cha Yala kwa ajili ya kufuata taratibu za kisheria.

1576450004680.png


Zaidi Soma:

A 20-year Form Three student has been arrested in Gem, Siaya County for stabbing to death his cousin.

A fight between two cousins in Gem, Siaya County, turned tragic after one of them was stabbed to death on Saturday night.

Gem sub county police boss Harriet Kinya told Nation that the 9pm incident followed a disagreement between the two over a woman.

The 20-year-old Form Three student stabbed Joseph Otieno Nyaeka, 45, to death in Ogolwe village within Yala township.

“The victim was stabbed in the chest and left thigh with a knife,” Ms Kinya said.

Police said Nyaeka had gone to the home of the suspect at night to find out why he had a love affair with one of their female cousins.
The student was arrested and is being held at Yala Police Station.

Source: Daily Nation
 
Back
Top Bottom