Kijana wa Kisrael aandika barua kugoma kujiunga na jeshi la nchi yake kupigana na Hamas. Hii imekaaje?

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
1703846433727.png

1703846490483.png
 
Huyo dogo ni mpumbavu.. Terrorists sympathizers wapo kila sehemu.. Sasa hivi ni kama vile Dunia imeingiwa na ugonjwa wa kuchukia ukweli.
Utashusha vipi silaha dhidi ya Adui ambaye katiba yake inataka wewe ufe kwanza ndiyo mazungumzo ya amani yafanyike?.
Ndani ya israel kuna waislam na muislam hajifichi kwa unafiq.
 
Kwani hii ni vita ya kidini ?
 
Kila nchi haikosi Watu waoga

Wakati tunaelekea Mutukula wako Vijana walikataa eti ni Vita ya ugomvi binafsi wa Nyerere na Idd Amin

Waoga hawakosagi sababu [emoji3]
Upumbavu ni kupoteza maisha yako kupigania ardhi ambayo ipo milele.

Halafu kuna mijitu ipo ikulu kazi kuzunguka kwenye viti tu, ikitoa order.

Moja ya kazi ya kipumbavu kwa binadamu ni uanajeshi.

Huyo kijana sio muoga.ila ametumia akili tu vyema.

Huwezi kupoteza maisha kisa Vita kupigana na binadamu mwenzako kisha mwisho wa siku wote mnakufa.

Mnachopigania kipo vilevile.
 
Kwa hiyo majeshi yote yafutwe
 
Huyo dogo ni mpumbavu.. Terrorists sympathizers wapo kila sehemu.. Sasa hivi ni kama vile Dunia imeingiwa na ugonjwa wa kuchukia ukweli.
Utashusha vipi silaha dhidi ya Adui ambaye katiba yake inataka wewe ufe kwanza ndiyo mazungumzo ya amani yafanyike?.
Ndani ya israel kuna waislam na muislam hajifichi kwa unafiq.
fikra za kiboya sana hizo mzee...by the way nyie wa tz vitu vya kusema kwa mdomo tu hapa waoga kusema,unamsimanga huyu dogo kwa kukwepa mapigano ya vita una jielewa kweli wewe!!!
 
Kwa hiyo majeshi yote yafutwe
Ndio ikiwezekana yafutwe.

Kwani binadamu hawezi kuishi bila majeshi na kupigana?

Vita vyote vilivyo piganwa na vinavyo piganwa aliyeishia na anaye ishia kufa ni binadamu.

Dunia na ardhi ipo vilevile.

Sasa kupoteza uhai wako kwa vita ni upumbavu wa hali ya juu.

Uraia ni dhana ya kufikirika.

Nationality ni Fictional identity.

Kufa ukidai kwamba unapigania taifa lako ni upumbavu wa hali ya juu.
 
Kila nchi haikosi Watu waoga

Wakati tunaelekea Mutukula wako Vijana walikataa eti ni Vita ya ugomvi binafsi wa Nyerere na Idd Amin

Waoga hawakosagi sababu 😀
Vijana gani walikataa?1978 kulikuwa na uzalendo wa hali ya juu kwenye vita vya Kagera.Watu binafsi walitoa malori yao na mabasi kusafirisha askari na mahitaji kwenda frontline.Nilikuwepo wacha uzushi.Hamna wakati Taifa lilikuwa na umoja kama kwenye vita vya Kagera.Na ndio maana tulishinda vita hivyo.
 
Hii barua inatakiwa wasambaziwe misukule ya kiizirael popote pale yalipo
expand...
Wangalikuwa wanauliwa watoto wa kikiristo ICC na UNO wangalikua hawaishi vikao. Tunaona UKRAIN. Kwa sababu wanaouliwa watoto wa kiislam wamekaa kimya. Kama kuna muislam hajazinduka dunia inavyoenda hazinduki tena
 
Kwani hii ni vita ya kidini ?
ujue watu wanachsnganya dini kila mahali hio ni vita ya aridhi watu wanagombea aridhi mapimbi yanaingiza Imani IDF Kuna wanajeshi waislamu wakutosha tu wanapambania aridhi yao palestina Kuna wakristo wakutosha na kila siku wanauawa wakipambania aridhi yao pia shida ipo kwetu uku
 
Vita vya kidini hivi
 
Back
Top Bottom