Kijana wa Kisrael aandika barua kugoma kujiunga na jeshi la nchi yake kupigana na Hamas. Hii imekaaje?

Kijana wa Kisrael aandika barua kugoma kujiunga na jeshi la nchi yake kupigana na Hamas. Hii imekaaje?

Propaganda, hata hapa bongo zipo - aka chawa wa mama.
 
Huyo dogo ni mpumbavu.. Terrorists sympathizers wapo kila sehemu.. Sasa hivi ni kama vile Dunia imeingiwa na ugonjwa wa kuchukia ukweli.
Utashusha vipi silaha dhidi ya Adui ambaye katiba yake inataka wewe ufe kwanza ndiyo mazungumzo ya amani yafanyike?.
Ndani ya israel kuna waislam na muislam hajifichi kwa unafiq.
Umekosea sio kwamba dunia inachukia ukweli
Yaani dunia imeelewa mambo yale walokua wanaambiwa ya ukweli wamegundua uongo na yale walokua wanaambiwa kua uongo wamegundua kua ndio ukweli wenyewe
Sasa dogo alisoma habari za six day war kwamba taifa lake kipindi hiko hakuna teknolojia kama leo hakuna maendeleo kama leo taifa lake lilipigana namataifa yakiarabu kwasiku sita tu nakweli akaamini kama unavyoamini wewe
Ila leo dogo kweny uhalisia anashanga nchi yake kijeshi anaambiwa yanane sijui ya ngapi wanateknolojia unaambiwa mpaka wanawasaidia United Shits Of Americant kutengeneza silaha kutengeneza kila kitu
Ila leo dogo anashanga mbona miezi mitatu wanamgambo ambao hawana hata kiwanda chakutengenezea silaha wanawakazia
Mzee hata ningekua mie huwezi kunipeleka kijinga kwenye hilo jeshi ningejua tu kwamba mtaji wao mkuu propaganda wakati ukweli sifuri
 
Ukiondoa mafundisho ya kidini nini kingine kinawaambia wa Islam kuwa hiyo ni Ardhi yao?.
Shida kila sehem mnataka kutia udini udini tuuuu
Chakwanza hio ardhi ya wapalestine ujue hili
Lapili anaetetewa hapa mpalestine vyovyote vile itakavyokua
Latatu hio ardhi ni ya wapalestine sababu israhell imeundwa mwaka 1948 baada ya kuokotwa okotwa huko wakaja kukusanywa hapo kwa ardhi za watu
 
Hivyo ndio vitu ambavyo vijana wa mudi mnavizingatia lakini havibadilishi chochote kwenye uwanja wa medani.............Netanyahu maliza woteeeeee
 
Ndio ikiwezekana yafutwe.

Kwani binadamu hawezi kuishi bila majeshi na kupigana?

Vita vyote vilivyo piganwa na vinavyo piganwa aliyeishia na anaye ishia kufa ni binadamu.

Dunia na ardhi ipo vilevile.

Sasa kupoteza uhai wako kwa vita ni upumbavu wa hali ya juu.

Uraia ni dhana ya kufikirika.

Nationality ni Fictional identity.

Kufa ukidai kwamba unapigania taifa lako ni upumbavu wa hali ya juu.
Mkuu magari na ajali zake zimeuwa watu wengi kuliko vita zote zilizokwisha piganwa hapa duniani- kama ni suala la watu kufa unahitaji kutushawishi zaidi
 
kipindi tunajianda kwenda uwanja wa vita kule mpakan mwa Uganda na Tanzania kunavijana walikuwa wanakula sabuni ili wasiende.

hao watu si wageni kwetu wa fronline
 
Mkuu magari na ajali zake zimeuwa watu wengi kuliko vita zote zilizokwisha piganwa hapa duniani- kama ni suala la watu kufa unahitaji kutushawishi zaidi
Nakwambia hivi kufa kupigana binadamu kwa binadamu wote mkiwa na akili timamu ni upumbavu.

Ajali hutokea tu na haina kinga.

Vita ina kinga na inazuilika.
 
Palestine kuna waislam pekee ? Nauliza tena kwani hiyo vita ni ya kidini ?

Kwanini mimi niwe mpumbavu na sio wewe ama mama yako?.

Nope:- nimemtaja mama yako kwasababu neno la Mungu linasema Mtoto mpumbavu ni mzigo wa mamaae na sio Babae.
Baba yako hausiki hapa, bali Mama yako.

Kuna maswali mawili nakudai hadi sasa.
 
Vita vya kidini hivi
dini mnaleta ninyi Palestine wanataka aridhi yao wayahudi wanataka aridhi yao vita vya kidini ni kama vile vya Burma kwa dalai lama ambapo waislamu walikua wakichinjwa na wabudha kilichowaponza wale waislam wa lohingya ni Imani Yao tu na kinawacho waponza wapelestina ni aridhi yao tu Hilo la dini mnaleta ninyi na ndio mnaleta mgawanyiko hamtaki solution mnaona maana mnataka dini ishinde
 
Kila nchi haikosi Watu waoga

Wakati tunaelekea Mutukula wako Vijana walikataa eti ni Vita ya ugomvi binafsi wa Nyerere na Idd Amin

Waoga hawakosagi sababu 😀
Ikitokea hii tanzania ya vijana wa sasahv kati ya 100 wataenda wawili.

Hakuna nchi ya wanaume waoga kama sis watanzania , maneno mengi hakuna vtendo
 
Back
Top Bottom