Kijana wa Kitanzania afungua biashara ya mabilioni nchini China

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Huyu bwana(30years) alienda China mwaka 2018 kujifunza Kichina ambapo akaona Changamoto na kuigeuza fursa.

-Anamiliki kampuni ya Logistics
-Anamiliki Warehouses
-Anaishi na kuajiri Wachina anawakoromea.

My Take: Tunataka Vijana wengine wapambanaji kama Hawa

Your browser is not able to display this video.
 
Nyie muendekeze uchawa China ndio aje ajenge nchi.yenu
 
We endelea kuwa chawa. Huwez kufanikiwa kwa kuwa chawa.
 
Hiyo my take yako jaribu ku replace na kupunguza uchawa maana ndiyo kazi yako kubwa ili watu waanze kujifunza kwanza kutoka kwako
 
Wampeleke nchini wampatie ukuu wa wilaya ili aisaidie nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…