Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kweli. Niliposoma anawakoromea nikajikuta nacheka.watanzania wanaamini sifa moja wapo ya kuwa boss ni kuwakoromea wafanyakazi wako😂
Safi....ila si lazima kukoromea watuHuyu bwana(30years) alienda China mwaka 2018 kujifunza Kichina ambapo akaona Changamoto na kuigeuza fursa.
-Anamiliki kampuni ya Logistics
-Anamiliki Warehouses
-Anaishi na kuajiri Wachina anawakoromea.
My Take: Tunataka Vijana wengine wapambanaji kama Hawa
45+,lakini hata akiwa na 50 amepigana vyema ni heshima kubwa sana.Nina mashaka na huo umri wake Huyo sio wa miaka 30 bwana
Ndiyo fahari ya mtu akifanikiwa-Anaishi na kuajiri Wachina anawakoromea.
Huku kwetu wachina wanawapiga makofi wabantu,Anawakoromea. Hahaha