Mafia Democracy
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 291
- 1,067
Kama haifanyi kazi njoo tukupe dawqNisiwachoshe
Kama huna nia ya kumla mwanamke acha kabisa story nae. Mademu wengi wanapenda sana mazoea na wanaume lakini deep down wanakua na agenda zaidi hasa kumtumia na kisha kuhakikisha heshima ya mwanaume huyo inashuka.
Naongea from experience furaha ya wanawake wengi ni kuona mwanaume anadharirika kabisa na kupoteza utu wake.
Kupitia kujuana wataleta njaa na wakiona hawawezi kufaidika tena na wewe tegemea dharau na kuchafua heshima yako ishuke na mwisho jamii nzima ikudharau.
Sehemu yoyote kama ofisini au mtaani kama huna nia ya kumla demu fulani usiwe kabisa na story nae ili kuepusha disappointment ndogondogo zinazoweza kuepukika.
Nadhani naturally mwanaume na mwanamke hawajaumbwa kukaa pamoja.
Bangi za wakanda forever zinasumbua kichwa chako sio bure😎😎Nisiwachoshe
Kama huna nia ya kumla mwanamke acha kabisa story nae. Mademu wengi wanapenda sana mazoea na wanaume lakini deep down wanakua na agenda zaidi hasa kumtumia na kisha kuhakikisha heshima ya mwanaume huyo inashuka.
Naongea from experience furaha ya wanawake wengi ni kuona mwanaume anadharirika kabisa na kupoteza utu wake.
Kupitia kujuana wataleta njaa na wakiona hawawezi kufaidika tena na wewe tegemea dharau na kuchafua heshima yako ishuke na mwisho jamii nzima ikudharau.
Sehemu yoyote kama ofisini au mtaani kama huna nia ya kumla demu fulani usiwe kabisa na story nae ili kuepusha disappointment ndogondogo zinazoweza kuepukika.
Nadhani naturally mwanaume na mwanamke hawajaumbwa kukaa pamoja.
Really 😂 Rayns kula kodi hiyoNisiwachoshe

Daaah ila jeifu kila mtu yuko abroad sema hata mimi location inasoma German 🤣labda uniambie acha kukaa na mademu wa uswazi
ila kuna wengine wa kisha wazungu tu
Sifa zao
Wanapenda kufanya mazoezi na gym
Kula health food
Wanapenda kutalii
Wanapenda clubbing au karaoke kama hanywi
Hao ishi nao ndo kampani yangu sana..
Ila kwa kuwa labda niko abroad ila hata bongo watakuwa wanapatikana wachache
Jibu baya sana hili🙆Kama haifanyi kazi njoo tukupe dawq
Sure umenena vyemaNisiwachoshe
Kama huna nia ya kumla mwanamke acha kabisa story nae. Mademu wengi wanapenda sana mazoea na wanaume lakini deep down wanakua na agenda zaidi hasa kumtumia na kisha kuhakikisha heshima ya mwanaume huyo inashuka.
Naongea from experience furaha ya wanawake wengi ni kuona mwanaume anadharirika kabisa na kupoteza utu wake.
Kupitia kujuana wataleta njaa na wakiona hawawezi kufaidika tena na wewe tegemea dharau na kuchafua heshima yako ishuke na mwisho jamii nzima ikudharau.
Sehemu yoyote kama ofisini au mtaani kama huna nia ya kumla demu fulani usiwe kabisa na story nae ili kuepusha disappointment ndogondogo zinazoweza kuepukika.
Nadhani naturally mwanaume na mwanamke hawajaumbwa kukaa pamoja.
Mimi inasoma Seattle, WashingtonDaaah ila jeifu kila mtu yuko abroad sema hata mimi location inasoma German 🤣
Ndo hivyo kaka amini tuDaaah ila jeifu kila mtu yuko abroad sema hata mimi location inasoma German 🤣
Mkuu mwishowe utanenepa bure ujue!Daaah ila jeifu kila mtu yuko abroad sema hata mimi location inasoma German 🤣
Kuna kaukweli hapaNadhani naturally mwanaume na mwanamke hawajaumbwa kukaa pamoja.
Mkuu from ntwaraaa to abroad 😁labda uniambie acha kukaa na mademu wa uswazi
ila kuna wengine wa kisha wazungu tu
Sifa zao
Wanapenda kufanya mazoezi na gym
Kula health food
Wanapenda kutalii
Wanapenda clubbing au karaoke kama hanywi
Hao ishi nao ndo kampani yangu sana..
Ila kwa kuwa labda niko abroad ila hata bongo watakuwa wanapatikana wachache
Hahaha so wasituchanganyr vichwa sisiMimi inasoma Seattle, Washington
Hahaha so wasituchanganye kabisa hawa jamaaMimi inasoma Seattle, Washington
Ahahahahah wacha tujiliwaze tu mkuu maana hatuna option nyingineMkuu mwishowe utanenepa bure ujue!
Nafsi ukiishaidanganya mwennyewe kuwa nipo Ulaya na kumbe upo Nanjilinji ndani ndani huko, ukaidanganya kwamba wewe ni mmiliki wa mali mbalimbali zisizohamishika na pia una wadhifa mkubwa katika jamii, yaani ni mheshimiwa flani, nafsi huhadaika na itakuamini na kuridhika.
Utashitukia tambi hilo!
Athari za kuidanganya nafsi ni kubwa kuliko faida, maana ikichoka kudanganywa yaweza kupoteza maisha yako.
yeah kdg nioshe macho japo ni southwest Asia si mbayaMkuu from ntwaraaa to abroad 😁
Nakubali sana mkuuyeah kdg nioshe macho japo ni southwest Asia si mbaya
Safii sana kaka TUKIPATA nafasii tu enjoy tule maisha DUNIA HII HII MZAMIR KATUNZIIIyeah kdg nioshe macho japo ni southwest Asia si mbaya