Kijana wa kiume acha kabisa story na wanawake kama huna nia ya kuwala

Kijana wa kiume acha kabisa story na wanawake kama huna nia ya kuwala

Nisiwachoshe

Kama huna nia ya kumla mwanamke acha kabisa story nae. Mademu wengi wanapenda sana mazoea na wanaume lakini deep down wanakua na agenda zaidi hasa kumtumia na kisha kuhakikisha heshima ya mwanaume huyo inashuka.

Naongea from experience furaha ya wanawake wengi ni kuona mwanaume anadharirika kabisa na kupoteza utu wake.

Kupitia kujuana wataleta njaa na wakiona hawawezi kufaidika tena na wewe tegemea dharau na kuchafua heshima yako ishuke na mwisho jamii nzima ikudharau.

Sehemu yoyote kama ofisini au mtaani kama huna nia ya kumla demu fulani usiwe kabisa na story nae ili kuepusha disappointment ndogondogo zinazoweza kuepukika.

Nadhani naturally mwanaume na mwanamke hawajaumbwa kukaa pamoja.
Ijapokuwa hujaeleweka vizuri mkuu
 
labda uniambie acha kukaa na mademu wa uswazi

ila kuna wengine wa kisha wazungu tu

Sifa zao
Wanapenda kufanya mazoezi na gym
Kula health food
Wanapenda kutalii
Wanapenda clubbing au karaoke kama hanywi
Hao ishi nao ndo kampani yangu sana..
Ila kwa kuwa labda niko abroad ila hata bongo watakuwa wanapatikana wachache
Kama Hao wachache sana mkuu, wengi pasua kichwa tu, bora uchape upite hivi
 
Ulichoandika ni ukweli kwa zaidi ya 80% Hilo nimeshuhudia wiki kadhaa nyuma hapo... Mwanamke kamwe usijenge nae mazoea kupitiliza ikiwa hautarajii kumla
Wanawake wakishindwa kukutumia wanavyotaka wanahakikisha unapoteza heshima mbele ya kila mtu anayekuzunguka. Naamini ni maadui wetu wa asili hasa nikiangalia kesi za Adam, Samson na mfalme Suleiman
 
Back
Top Bottom