Kijana wa kiume fanya hivi kumvutia mwanamke ...

Kijana wa kiume fanya hivi kumvutia mwanamke ...

Mndenyi ni lazima maana weekend inakuwa mwake sana
Hapo namaanisha anaongea kutokana na kile alicho nacho kw awakati huo na uzoefu unaweza kuwa ni kidogo sana kwenye haya mambo
Umemuona Lizzy wivu umemjaa mpaka anashindwa kusema

I got u sir! Mndenyi ni mndenyi aisee asikudanganye mtu... hewa safi mbege kdg.... ah! I wish to go back. Lizzy nimeshamrusha hewani naona kaingia mitini

wewe nazjaz umelazimishwa kuchangia? kwani hujui hii ni sehemu ya mapenzi na raha zake! mambo ya uchumi nenda kwingine utapata wenye hasira za maendeleo kama yako! hata wenye njaa somalia wanafanya mapenzi ndo manake watoto wenye utapiamlo wapo wengi saaaaaana!

Aseee!!!

1.uwe na mipesa na magari

mia ivuga.

Lakini mimi nmeapply ya the only ametick sasa hivi.nasubili jioni nikachakachue.lakini itabidi niende na mshiko baada ya game nmpe akanunue hata sabuni ya kuogea.ntajitahidi leo kua on time nisimuudhi.mia

Ni mchakato kabambe wa jinsi ya kumvutia mtoto wa kike hususani ukizingatia umuhimu wao katika kukamilisha furaha yetu ,wengi wameishi kutafuta wana wake wepesi kuwamaliza au vicheche , japo hakuna fomular brothers hizi ni TIPS MAKINI

1 ) vaa upendezavyo kama kibonge usivae ma oversize vaa nguo zina kushika kiaina mwili , pia vaa rangi za kung'aa kama red ,njano au meusi ya
kupendeza .
2 ) kuwa msafi always

3)tumia low tone uongeapo na wakike.

4)sikiliza 60% ongea 40%.

5)simama ukitaka kumsalimia

6)kamwe usifanye jambo linalo ashiria hisia za ngono ,mfano kupekesha kwa kidole ,kukonyeza,badala ya kusema anabambataa sema ameumbika .

7)kuwa on time hata mabo ya kipuuzi ,mfano akiulizia movie mpe kwa muda uliotamka

8) kuwa mcheshi kwa rafiki zake kuzidi yeye.

9) wadau tuongezeane maujizzzz..............!
at least 5% kwenye red ila safari naona bado saana

mkuu watoto hao wakuwafanyia hivyo ni wakishua mkuu sio kuku wa kienyeji utashaa ndugu yangu..

Hizo tips zako Za kisharobaro zitawafaa huko huko kigoma ulipo bongo hazina mpango kabisa

Hizo tips zako Za kisharobaro zitawafaa huko huko kigoma ulipo bongo hazina mpango kabisa

umeona eeeeeee!....pesa ndio mpango mzima,hata kama watanuna na kusema maneno mengine lakn huo ndio ukweli bana

Mkuu na wale ambao hawazuzuki na sijui movie na mazaga zaga yako hapo juu na wala hawaaangalii uswafi wa mwili wako wala the way unavyoongea wala hawajali kama unapiga kelele au unaongea nao unawaweka katika kundi gani. Wao wanampenda mtu the way alivyo na sio sijui kutumia kigezo gani
nimekusoma mkuu, hao ndo huwa wana end na avarage looking girl ..... sweetest are reserved for the best be bst

Hizo Choclate huwa mnaleta wenyewe. Even money sometimes hatuombi. I once had a Boyfriend, He once gave me 500,000/= eti nikanywe chai.!!!
we ndo ulikuwa first girl kwake ..........

I got u sir! Mndenyi ni mndenyi aisee asikudanganye mtu... hewa safi mbege kdg.... ah! I wish to go back. Lizzy nimeshamrusha hewani naona kaingia mitini
Kakimbia sijui kaona nini hapo
Lizzy haya mambo hayajui ndo maana yeye kazaliwa na kukulia dar mndenyi hakujui kabisa

Lizzy ulakuso... Malizia basi jamani. Unajua madhara ya kuacha kumalizia lakini? Hili ndo tatizo la Senior Bachelor!

Ni wa..... ummm ummm wap..... marafiki?!

Attraction has no choice nimedate wanawake wengi ktk mazingira ya kawaida sana,wanawake ni feelings tu ukaweza kucheza nazo kwisha habari yao,hawana logic na ukitumia logic wanakuona crazy!women jugde how they feel about you,not otherwise

Umelazimishwa kuchangia? Unafikiri kila mtu anamawazo kama yako....moral authority ya kuwapa direction ya michango ya watu....umeitoa wapi?

chooni

unawaza tu kuwavutalia wanawake kitandani, heby fikiria kuboresha maisha ya Mtanzania asiye na chakula, maji, umeme wala mafuta

Kila mtu na wake. Atampata wa sample yake.

Kakimbia sijui kaona nini hapo

Lizzy haya mambo hayajui ndo maana yeye kazaliwa na kukulia dar mndenyi hakujui kabisa

Ungejua dasilamu nimepajua juzi usingesema!! Alafu mnanikumbusha ngararimu....

Namba nane na moja kwangu hapana aisee,mnene avae loose kidogo, pia rangi za kung'aa mwanaume wapi na wapi,yaani unijie kama jimmy kerry kwenye THE MASK, kwa kweli hapana

Marafiki zangu uwachangamkie kuliko mimi, nitakununia mpaka utajuta, napenda uchangamfu wa kawaida tu, kuwaongezea tu msipende kujisifu vya kijinga, pia unyunyu uwepo wa maana
hahahahahahahah uwiii mbavu zangu kweli dawa yenu ni kulia kwa nguvu tuuu

Back
Top Bottom