Kijana wa kiume fanya hivi kumvutia mwanamke ...

Ungejua dasilamu nimepajua juzi usingesema!! Alafu mnanikumbusha ngararimu....


"ngararimu" duh noma sana hizo wala usinikumbushe nikaanza kutamani kwenda mndenyi bure hapa
 
Ni wa..... ummm ummm wap..... marafiki?!

Alafu we sijui ticha? yaani kuwapa wenzio mtihani unapeeenda! Ni PM basi ntakuletea ngararimu nimekuja nazo!!
 
Msisahau kwenda gym kutengeneza body structure! Si mnajua mambo ya sex body!
 
<span style="font-family: comic sans ms">Alafu we sijui ticha? yaani kuwapa wenzio mtihani unapeeenda! Ni PM basi ntakuletea ngararimu nimekuja nazo!</span>!
Kama ulikuwepo vile...napenda kweli alafu wakati wa kusahihisha ndio kabisaaaaaaa!!

Mmh ngararimu nataka sana ila kukuPM naogopa sana!!!
 
Labda kama unaongelea watoto ambao hawasomi CBE, IFM au St Augustine ndo ntakuelewa.
 
Msisahau kwenda gym kutengeneza body structure! Si mnajua mambo ya sex body!
 
hizo tips zako za kisharobaro zitawafaa huko huko kigoma ulipo bongo hazina mpango kabisa
your altitude determine your latitude ,kwa hiyo we kaji dar unaona kaajabu asee poor u
 
zinasaidia kidogo
 
Alafu we sijui ticha? yaani kuwapa wenzio mtihani unapeeenda! Ni PM basi ntakuletea ngararimu nimekuja nazo!!

Usiende PM utaulizwa maswali mpaka utadeclare interest hapa
 
Kama ulikuwepo vile...napenda kweli alafu wakati wa kusahihisha ndio kabisaaaaaaa!!

Mmh ngararimu nataka sana ila kukuPM naogopa sana!!!

Ivi na wewe huwa unaogopa? Maana when i read you napata picha ya mwanamke jasiri sana sasa huku "kuogopa" mh! i dont think so.
 
Du wakubwa nimejifunza mengi ingawa vingi nimejaribu but still niko single
 
<span style="font-family: comic sans ms">Ivi na wewe huwa unaogopa? Maana when i read you napata picha ya mwanamke jasiri sana sasa huku &quot;kuogopa&quot; mh! i dont think so.</span>

Hehheh....naona Mr Rocky hapo juu kanisaidia tayari.Yani naogopa kwa niaba yako....
 
Usijali maswali best kama atanishinda kwa hoja pouwa tu nipo tayari!

Kwa hoja na maswali yule anakushinda
halafu mwambie naomba awe na ujasiri wa kudeclare interest kwa mtu anayeitwa Mr. Rocky ili kulinda heshima
 
ngararimu, umberere, kena, ngolowo, Mtondo.
 
doh!!mi navutaa mafegi sio fegi maana ni moja mbiliii,nakunywaaa ulabu[tilalilaa]japo weekends spcl tu.kwa hiyo sivutiii warembo?
mi naonaaa ukitaka kumvutia mwanamke BE U NOT FAKE.aaaaaaaaaaah!!ilaa dreadlocks zangu kichwani na umachnooo umenifanyaa nimeowa mzungu[masai camp]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…