doh!!mi navutaa mafegi sio fegi maana ni moja mbiliii,nakunywaaa ulabu[tilalilaa]japo weekends spcl tu.kwa hiyo sivutiii warembo?
mi naonaaa ukitaka kumvutia mwanamke BE U NOT FAKE.aaaaaaaaaaah!!ilaa dreadlocks zangu kichwani na umachnooo umenifanyaa nimeowa mzungu[masai camp]
Kwa hoja na maswali yule anakushinda
halafu mwambie naomba awe na ujasiri wa kudeclare interest kwa mtu anayeitwa Mr. Rocky ili kulinda heshima
Kaka hujanishawishi!! Unataka nishindwe kabla ya kuingia kwenye mpambano? No way bro mimi mpambanaji na muambie ajaribu atakuja kukusimulia!

hahahahah mkuu na mpaka sasa hivi wapo na ukiweka etna na pale via via mambo yanakuwa super

Ila hivyo ni vigezo vyake bana kuna wengine hatuna hivyo ila tunakubalika tuu

ngararimu, umberere, kena, ngolowo, Mtondo.
Kwa hoja na maswali yule anakushinda
halafu mwambie naomba awe na ujasiri wa kudeclare interest kwa mtu anayeitwa Mr. Rocky ili kulinda heshima
hahahahah mkuu na mpaka sasa hivi wapo na ukiweka etna na pale via via mambo yanakuwa super

Ila hivyo ni vigezo vyake bana kuna wengine hatuna hivyo ila tunakubalika tuu
Nahisi wewe huwajui vizuri waischana au umezoea kutongoza mahouse girl...mtazamo wangu tu!!Ni mchakato kabambe wa jinsi ya kumvutia mtoto wa kike hususani ukizingatia umuhimu wao katika kukamilisha furaha yetu ,wengi wameishi kutafuta wana wake wepesi kuwamaliza au vicheche , japo hakuna fomular brothers hizi ni TIPS MAKINI
1 ) vaa upendezavyo kama kibonge usivae ma oversize vaa nguo zina kushika kiaina mwili , pia vaa rangi za kung'aa kama red ,njano au meusi ya
kupendeza .
2 ) kuwa msafi always
3)tumia low tone uongeapo na wakike.
4)sikiliza 60% ongea 40%.
5)simama ukitaka kumsalimia
6)kamwe usifanye jambo linalo ashiria hisia za ngono ,mfano kupekesha kwa kidole ,kukonyeza,badala ya kusema anabambataa sema ameumbika .
7)kuwa on time hata mabo ya kipuuzi ,mfano akiulizia movie mpe kwa muda uliotamka
8) kuwa mcheshi kwa rafiki zake kuzidi yeye.
9) wadau tuongezeane maujizzzz..............!

Mkuu nimeipenda sana hii!
Yani we mwenyewe huwezi mpaka ufuatwe?!
We mwenyeji wa ViaVia?!
hahahahah

Kuna mtu ananisumbua hapa anataka wewe useme wazi na kudeclare interest kabla ya jua kuzama
Cool....itabidi siku na mimi nije kushangaa...!Mara moja moja kwenda kuosha macho na kuona mambo mapya
Mmmh nani tena huyo!?Na kwanini anasisistiza?!
Cool....itabidi siku na mimi nije kushangaa...!
Cool....itabidi siku na mimi nije kushangaa...!
Kale KaEx kadogo bana kanasumbua kutaka kujua interest zangu na zako kama zinashabihiana