Kijana wa kiume mwanafunzi wa shule ya Msingi anaingiliwa kinyume na maumbile !Msaada hatua za kuchukua

Broh, waya zipo za aina tofauti tofauti. Kwa kuzingatia darasa analosoma chukua ule mwembamba wa kopa. Dk 5 tu anamtaja muhusika na kukupeleka wanapofanyia mchezo.

Kizazi cha sasa kina malezi mazuri sana,
 
nyie wazazi wa kina junior mnaenda opiiiii..
 
Broh, waya zipo za aina tofauti tofauti. Kwa kuzingatia darasa analosoma chukua ule mwembamba wa kopa. Dk 5 tu anamtaja muhusika na kukupeleka wanapofanyia mchezo.

Kizazi cha sasa kina malezi mazuri sana,
dogo asipotaja waniandalie huo waya na nauli.
 
dogo asipotaja waniandalie huo waya na nauli.
Hawa jamaa wa ajabu sana mkuu. Huyu dogo sekunde tu anabwabwaja vyote. Nina mwanangu alikuwa mkaidi kinoma. Mzee wake kuna siku alitumia ule waya ya pasi kumpa somo la milele.

Baada ya hapo dogo aliacha na ufala wake kwa asilimia zaidi ya 90. Mzee alipiga siku nzima. Alikuwa anampiga huku anamwambia leo nakupiga mara ya mwisho hivyo nakupiga mpaka nichoke. Alafu kipigo ni taratibu. Unapigwa, unalishwa, unanywesha, unasimamiwa kuoga, unarudi sebleni kipigo kinaanza upya.
 
dini gani huyo mtoto
 
Nimeshindwa kusoma mpka mwisho uzi wako, maana hujasoma mpaka mwisho.


 
"Anajifanya mtakatifu". The problem with going against God's laws is it reaches a point like this: kunatokea takataka za kila aina, and each one feels justified coz "wewe mbona umefanye vile".

Hapo utakuta anayemfanyia hivyo hiyo mtoto anasema sisi ni wanyama, Mungu hayupo, hakuna free will, anapigania haki za watoto kuchagua jinsia wanazotaka and other satanic movements.
 
Kama mtoto ni wa la saba, maana yake atakuwa na umri kati ya miaka 12 na 14. Umri huo ni wa balehe na huwa tayari wanajua baya na jema.
Kwa watoto wa kiume huo ni umri wa kujiona yeye ni kidume cha mbegu haswa na mara nyingi sio rahisi kukubali hata kutukanwa matusi ya kinyume na ulijari, ataumia sana na kukupelekea ujutie, na kumfanyia ushenzi kama huo huwa ni kitu kisichowezekana hata kufikirika.
Ipo kwenye damu kwa mtoto wa kiume kuwa defensive na uanaume wake na kutokukubali kuwa victim au mnyonge wa wanaume wenzake.

Lakini pia umri huo ni wa ujinga, ujuaji na kujaribu kila wanachokiona hasa mitandaoni kulikojaa video chafu za kila aina.
Kwakua umesemema baba wa mtoto yuko nje, maana yake bila shaka atakuwa anajiweza, na ana malezi ya kizungu, hata muandiko wako wewe mtu wa tatu unaonyesha hicho. Hivyo kusema dogo anaogopa wazazi ni ngumu.
Mtoto ana access ya vifaa vya mtandao nyumbani, ukilinganisha baba hayupo, huyo dogo atakuwa na uhuru kupitiliza. Na anaweza kujaribu chochote peke yake au na wenzake kutokana na malezi aliyolelewa.

Ni kitu kigumu mtoto wa kiume umri wa balehe kukubali kufanyiwa ushenzi na mtu na akakaa kimya hata baada ya kuulizwa. Kuna uwezekano wanafanyiana au anafanyiwa na watoto wenzake.

Hata hivyo, hii ni deduction tu. Cha muhimu ni kulea watoto kwa ukaribu. Dunia imeoza.
 
Nimeshindwa kusoma mpka mwisho uzi wako, maana hujasoma mpaka mwisho.
We umekuta kaisharekebisha, hicho alichokiongeza hakuandika hapo awali, kaandika baada ya watu wengi kuuliza.
 
TATIZO KESHAINGILIWA, ILITAKIWA KABLA HAJAINGILIWA MANAKE AKESHASTIMULIWA KUNA SIKU ATATAMANI TENA
 
Wadau vipi maendeleo ya mtoto wetu? kuna yeyote mwenye taarifa nzuri.....???? Niliongea na wadau wa watoto wameomba sana wajulishwe.....! alipo mtoto, shule, mtaa, anayemfanyia na kadhalika waingie kazini! kuokoa taifa la leo, kesho na keshokutwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…