Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Inasikitisha sana.Wadau Habari,
Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.
Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.
Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.
Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.
Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.
Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.
Ukitukana, litakukuta jambo:
Mkuu umelewa au umevuta bangi?Upumbavu unaanzia hapa.
Kwann jina halijatajwa?
Muacheni mtoto afaidi inaonyesha anafurahia hilo na mama amelibariki hilo.
Naunga mkono hojaMk
Mkund4 wako
Nmevuta bangiMkuu umelewa au umevuta bangi?
Hapana hiyo sio sababu,hapo inavyoonekana huyo mtu anayemfanyia huo mchezo ni mtu mwenye kacheo fulani na amemtisha endapo atasema atamfanyia kitu kibaya ndio maana anaogopa kusema.Muda wote mzazi uso umeukunja, kufokea watoto hovyo hata mtoto anapopata changamoto anashindwa kusema.
Mtoto hajataja nani anamfanyia ndio wanatafuta njia ya kumfanya aseme. Sio kwamba wanajua jina ila hawataji.Kwann jina halijatajwa kama kweli wanataka kutatua hilo?
Kwann sasa asiseme mpaka abembelezwe?Mtoto hajataja nani anamfanyia ndio wanatafuta njia ya kumfanya aseme. Sio kwamba wanajua jina ila hawataji.
Ni mtoto.Kwann sasa asiseme mpaka abembelezwe?
Ushauri ninao taka ni namna ya kuliendea jambo,Ushauri mmoja niliopewa ni kuzungumza nae taratibu huyu kijana,Darasa la mtihani ndio Darasa gani? hii ingetupa picha ya umri wake, Kwanini mke wa rafiko ako akupigie simu wewe? habari nyingi sana zinazokuwa na mhusika katika nafsi ya tatu huwa ni Chai, Huyo mtoto kama kaamua kusema kwanini aseme nusu nusu? Hoja yangu ni inaweza kuwa michezo ya watoto watupu, au mtoto asiwe Victim kwa maana kwamba wanafanyana kwa zamu. Unataka ushauri gani zaidi? umeeshaambiwa kaa nae chini zungumza nae kwa upole, nilifikiri baada kukaa nae chini na kugonga mwamba ndio ungekuja huku JF kuomba ushauri?
Kwa hatua ya kuanzia hata kuwazomea Tu huko barabarani wakipita wanajibinua binua!Mtoto wa darasa la 4 probably yuko chini ya miaka 10, ni umri ambao mzazi unatakiwa uwe unamuogesha mtoto wako kama kuna mabadiliko ni rahisi kutambua mapema na kuchukua hatua, sasa huyo tangu mwezi wa 5 anafanyiwa ukatili wewe hujui chochote kwa kiasi kikubwa ni kufeli kwenye malezi.
Kitu kingine ni kuwa ukijijengea tabia ya kuwa mkali kupitiliza kwa mtoto inaweza kuchangia kumfanya aogope kusema ukatili anaofanyiwa kwa kuhofia atakua ameongeza tatizo na akaishia kutandikwa.
Kwa umri wake wala hatakataa kusema aliemfanyia hivyo ni nani, chakufanya nenda nae kituo cha polisi kuta dawati la jinsia na watoto wana deal na haya mambo ya GBV, wanajua namna ya kuongea na mtoto na kumuhakikishua usalama wake na atasema akiwa huru .
Dunia ya sasa kuna watu washenzi sana unaweza kuuwa mtu, na mitandaoni hawa mashoga sahivi wamekua ni watu wanaoangaliwa kama inspiration utashangaa kuona shoga ana page mtandaoni na ana followers zaidi ya 100k huu ni msiba mzito , hawa wanastahili kutengwa ili mtu yoyote asichukulie ni kitu cha kawaida kuwa shoga.
Halafu usikute wewe mwenyewe ndio mhusika
wahusishe walimu pia, wanaweza ku crack puzzleWadau Habari,
Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.
Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.
Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.
Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.
Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.
Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.
Ukitukana, litakukuta jambo:
Aione Dkt. Gwajima D
Yaah hapo ni wazi bond ya wazazi na huyo mtoto ina changamoto.Muda wote mzazi uso umeukunja, kufokea watoto hovyo hata mtoto anapopata changamoto anashindwa kusema.
Huna watoto niniUpumbavu unaanzia hapa.
Kwann jina halijatajwa?
Muacheni mtoto afaidi inaonyesha anafurahia hilo na mama amelibariki hilo.
Jaribu kutatua hilo tatizo kwa kutumia AKILI Epuka kutengeneza tatizo zaidi.Wadau Habari,
Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.
Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.
Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.
Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.
Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.
Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.
Ukitukana, litakukuta jambo:
Aione Dkt. Gwajima D
Hii nayo ni shida sanaMuda wote mzazi uso umeukunja, kufokea watoto hovyo hata mtoto anapopata changamoto anashindwa kusema.
Mke wa rafiki yako, kakupigia wewe simu, wewe ndio kichwa kinakuuma kushughulikia jambo, rafiki yako yuko wapi? Kwanin hamjamshirikisha nae ndio baba.
Anyways chukua mtoto, mpeleke sehemu anapendelea, muoneshe upendo huku ukimbana maswali ya akili,
Buni vistori vya uwongo, mfano km katishiwa, basi buni vistori kwamba ushawahi msaidia mtu katika hili na lile alitishiwa maisha, ukafanya hivi na vile, ili mtoto aone yupo sehemu salama zaidi.
Yeah hawezi kusema kiurahisi inahitaji mbinu za kisayansi.
inavyoonekana huyo mtu anayemfanyia huo mchezo ni mtu mwenye kacheo fulani na amemtisha endapo atasema atamfanyia kitu kibaya ndio maana anaogopa kusema.
Hapana,ukiwahusisha walimu halafu kama ni mwalimu mwenzao ndio anahusika watatengeneza njia za kumtetea mwenzao au kumtorosha.wahusishe walimu pia, wanaweza ku crack puzzle
Poleni Sana,mtoto anahitaji Msada WA kisaikolojia kwa kiasi kikubwa,miezi 3 anaingiliwa ni kipindi kirefu,mpaka amefikia hatua ya kujinyea ina maana kashazoea☹️☹️☹️☹️☹️Ushauri ninao taka ni namna ya kuliendea jambo,Ushauri mmoja niliopewa ni kuzungumza nae taratibu huyu kijana,
Kwanini nimeomba huku tena ushauri ninapenda kuwa na options nyingi ili niweze kuchagua moja kulingana na mazingira ya huyu kijana.
Mtoto yuko darasa la saba
Kuhusu chai naomba unitake radhi dababu kwa umri wangu siwezi anzishatopiki ili niwadanganye.Haya nimaisha ya kijana wa kiume wa rafiki yangu ambae kwa sasa yupo mbali na familia kwa majikumu ya kikazi.