Kijana wa kiume unakuwaje chawa? Kuna shida mahala

Ndio maana nakuambia kuna kazi nyingi za kufanya kulisha familia zao, uchawa sio option pekee..

Nguvu kazi ya taifa inapotea, uchawa kwenye siasa ndio unapelekea na wewe usitoe mchango wowote kiuchumi kwenye taifa, uchawa ni kupotoka, uchawa ni uongo, uchawa ni ukandamizaji.

Chawa wanasifu wanasiasa na kufanya kampeni zinazopotosha jamii, kusifu viongozi wanaokosea. Acha wasemwe hawana msaada wowote.

Kuhusu familia kila mmoja ana familia hata nyau ina familia.

Chawa wanakera, kazi ya chawa ni kuficha uovu, hatuwezi kuwa na taifa la namna hio.

Uchawa na ushoga havipo mbali.
uko sahihi,,ila kama hawavunji sheria wacha wainjoi bwan,,, afu izo kaz nying unazosema naomba unipe connection bas ndugu angu 😥😥😥
 
uje uniue kama yule ngosha wa penina niache katoto kangu kazuri yatima😂😂😂 shindwa pepo
I can't aiseee yaani siwezi kabisa...
Kwani unajua alichofanya penina wewe....
Wee kuweza kufanya au 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
 
matapishi ni kinyaaa huez rudsha tena kwenye kinywaaaa,,,ebu tafuta uzi mwingine tukutane tena uko😂😂😂😂😂,, nakupa 15 minutes
 
Chawa ni zaidi ya mpambe.
Napenda kuzungumzia hawa chawa wa kiume, kuanzia kwenye siasa, music industry hata mtaani.

Chawa wanapenda lifestyle la wanaume wenzao wenye pesa, ili kuweza na yeye kufika pale na aishi yale maisha atatengeneza ukaribu na boss ili kumfurahisha kwa maneno ama vitendo, hii ni sifa ya kina dada, mwanamke anavutiwa sana na lifestyle ya mwanaume fulani hivyo hufanya juu chini na yeye aweze kuishi hayo maisha, utakuta dada wa 20's anatoka na mzee wa miaka 70 ambae ni tajiri, kikubwa si mapenzi bali amevutiwa na lifestyle ya kifahari.

Ugomvi wa chawa kwa chawa huwa ni maneno na mdomo mwingi sana, mipasho, majungu, hapa utakuta wanagombania matajiri, hii sifa ni ya wanawake wakiwa wanagombania mabwana, utakuta kijana wa kiume na kengele zake mbili anamwambia chawa mwenzake ambae wana uadui "tajiri yangu ana rolls royce we huyo wako anayo... blah...blah...blah".

Haya ni mambo ya kike tulishazoea lakini hivi sasa vijana wa kiume ndio kazi mjini kugombania wanaume wenzao kutwa kwenye social medias.
Nielewavyo wanaume huwa hawana maneno mengi hata wakigombana.

Ukichunguza tabia nyingi za chawa zinaingiliana na mambo ya kike sasa ndio najiuliza hivi hawa chawa ni wazima?

Wengine wapo humu anatoa nyuzi ya kusifu na kuabudu akimaliza anatoa na namba ya simu ili matajiri wamtafute..

Kwa jinsi chawa wanapenda kitonga naamini katika utafutaji wao kuna raia wanawashika kalio.

Mtoto wa kiume uliye lelewa katika malezi bora huwezi kubali kuwa chawa , ni kujidhalilisha na kujiondolea utu, uchawa ni barabara ya kuelekea kuwa msosi wa watu.

Hapa jf wapo wengi sana kwenye siasa.
Dahh! tunamsiktikia Lucas
 
Kama kijana wa kiume ameamua kuwa chawa je akiombwa atoe tako unafikiri atakataa[emoji3]
 
Huu uvi ni ngumu kupendwa kulingana na idadi ya chawa JF kuwa wengi mno kuna siku nlitaka kuandika kitu kuhusu hawa mambwiga.

Yaaani nimefungua JF kwenye channel ya siasa nyuzi tatu mfululizo ni za machawa nguli kabisa humu jf na zinapewaa aiirtime kinoma.
 
Wanasema hakuna tajiri anakosa Mpambe labda kama ni pesa za majini

Kama huna mpambe jua Bado huna pesa na pesa ya kujikimu tu

Yaani uwe na pesa kama pesa ukose mtu au chawa wa kukupa sifa

Hata Mungu tajiri na mmiliki ukimpa sifa na utukufu basi hufurahi, sembuse si binadamu

Hapa utaenda na chawa Gani kati ya hawa watatu

1. Mwijaku

2Baba Levo

3. Dotto Magari
 
Back
Top Bottom