Mtoto wa miaka 14 kutoka kijiji cha Arusha ameripotiwa kujinyonga baada ya madai ya kuingiliwa kinyume na maumbile na askari waliomchukua Oktoba 29.
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, kijana huyo alipatikana tarehe 4 akiwa ameumizwa vibaya, mwili ukiwa na makovu na kuvimba. Hali yake iliwatia hofu zaidi pale alipolalamika kushindwa kukaa, na baada ya uchunguzi wakabaini alikuwa amelawitiwa.
Siku chache baadaye, alisikika akisema anaenda shambani kutafuta masago ya ng’ombe. Hata hivyo, hakurudi nyumbani—baadaye alipatikana akiwa amejinyonga.
Kiroho, yaliyotokea Tanzania yanaweza kuwa yamechangiwa na dhambi nyingi, utawala uliopo, vifo na matukio ya kutisha ni hasira ya Mungu juu ya taifa.
Sodoma walikufa watu sababu ya ufiraji(Sina hakika, ila hata TZ sijaanza kusikia Leo, na viongozi hawakemei, enzi za awamu ya nne huko, Tano ndio ikawa siraha ya kuwafumba mdomo ambao hawakwenda pamoja na mamlaka(kama haikuwa tetesi)
Daudi kwa kutembea na mke wa ulia TU, watu walichinjwa na absalomu , kwa kigezo cha kuutaka ufalme, ila ukweli MUNGU alicreate yote ILI kumlipiza daudi, walikufa hata ambao hawana hatia, the same in our country, Kuna sehemu tume- mess up, na tunawajibishwa,,,
Kabla ya huyu mama Kuna viongozi hawakuwa waadilifu , just as Daudi , dhambi zao hazikupigiwa kelele, na wao hawakutubu, kiongozi ni lango, akiharibu yeye, wote walio chini yake wanaharibikiwa
Wale tunaoandamana madhabahuni tusiache, free your mind, omba Toba kwa ajili ya taifa, kabidhi damu iliyomwagika kwa Mungu, usimwambie cha kufanya, shukuru then wait a while you ll see the outcomes, inaweza kuwa good or bad , just free your self from emotional, utashindwa kuomba, 🙏🙏🙏