Anaelezea maana ya promo, ni sherehe ya kumaliza mtihani kama wa necta.Acha uzushi wewe bibi. Ulaya kuna Necta??
Hapa anawachamganya watu tu wajue kuwa hayo mambo yame happen huku kwetu. By the way hayo mambo kwa hao watu qala si ajabu si mashoga hao?Anaelezea maana ya promo, ni sherehe ya kumaliza mtihani kama wa necta.
Shangaa😂😂Acha uzushi wewe bibi. Ulaya kuna Necta??
Acha uzushi wewe bibi. Ulaya kuna Necta??
Sky na ww una akili za hivi? NECTA kumbe ipo na ulaya pia? Any way anaonekana kijana ni shoga na ushoga majuu ni sifa njemaView attachment 3113794
Prom ni sherehe ya kumaliza mitihani ya NECTA. Nisiku ambayo vijana wanavaa mavazi wanayopenda na huwa wanapendeza sana.
Kijana huyu pichani aliamua kuvaa suit ya skirt, kitendo hiki kiliwasikisha wengi. Dunia hii tunakoelekea tunahitaji maombi na kufunga kwa sala.
Mnooo loInasikitisha sana...
mbona ni mzungu huyu au huko ulaya wanafanya mitihani ya NECTA?View attachment 3113794