Kijana wa miaka 20 natafuta ajira au kazi

Kijana wa miaka 20 natafuta ajira au kazi

Joined
Dec 11, 2024
Posts
94
Reaction score
240
Naitwa Yusuph , umri miaka 20 natafuta Ajira au kazi yoyote ile ya halali.


Elimu yangu kidato cha nne.
Aina ya kazi , naweza kufanya Kazi mbali mbali , zakutumia akili pamoja na nguvu

Napatikana DSM wilaya ya TEMEKE

Mawasiliano +255696993834
 
Wambie wazazi wako wakupeleke veta ukasome short course.
Screenshot_2024-12-11-22-56-19-27.png
Screenshot_2024-12-11-22-56-19-27.png
 
Back
Top Bottom