JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mahakamani alipewa nafasi ya kujitetea lakini Magoda hakusema lolote.
Alikuwa anafanya mazoezi ya mabikira 72Dini gani huyo mwamba??
oya nyie huu mwaka matukio yamezidi aisee
oya nyie huu mwaka matukio yamezidi aisee
Noma aiseeAlikuwa anafanya mazoezi ya mabikira 72
[emoji16]Alikuwa anafanya mazoezi ya mabikira 72
Naomba kuuliza kwani kuuliza sio ujinga.Juwai Magoda, mwenye umri wa miaka 24 Mkoani Iringa amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na faini ya Tsh milioni moja baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji kwa binti wa miaka 9 aliyekuwa akisoma darasa la pili.
Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Iringa, inadaiwa Magoda aliyekuwa akiishi jirani na mtoto huyo, alimbaka Mei 20, 2021 saa moja usiku wakati mama mtoto akiwa ametoka.
Mara baada ya mama kurejea, mtoto akamueleza mama yake na taratibu za kumkamata zikafanyika. Akiwa Mahakamani alipewa nafasi ya kujitetea lakini Magoda hakusema lolote.
Hill nalo nenoNaomba kuuliza kwani kuuliza sio ujinga.
Inakuwaje mtu anahukumiwa kwenda jela maisha halafu anapigwa faini ?
Ma jaji wanategemea huko jela huyu mtu atakua na kipato gani?
Au wanategemea atamaliza kifungo Cha maisha ili arudi alipe hiyo faini?
Kangaroo court magistrates and judges the ball is in your court.
Katia huruma jamaa lkn ndyo hvyo mchuma jangaJuwai Magoda, mwenye umri wa miaka 24 Mkoani Iringa amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na faini ya Tsh milioni moja baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji kwa binti wa miaka 9 aliyekuwa akisoma darasa la pili.
Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Iringa, inadaiwa Magoda aliyekuwa akiishi jirani na mtoto huyo, alimbaka Mei 20, 2021 saa moja usiku wakati mama mtoto akiwa ametoka.
Mara baada ya mama kurejea, mtoto akamueleza mama yake na taratibu za kumkamata zikafanyika. Akiwa Mahakamani alipewa nafasi ya kujitetea lakini Magoda hakusema lolote.
Nimeongezeka kuuliza hili swali mkuumimi shida yangu sio kula kifungo cha maisha jela maana kam alikula mzigo au hakula mimi sikuwepo so siwezi sema lolote
shida yangu ni kujua je akikosa hio milioni moja nini kinatokea ?
na anaitoa wapi au huko jela kuna sehemu ya kutafuta hela ?