Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
duh alikua anajihusisha na siasa?Ameniuma huyu mkaka, couz namjua personal.
π’π’ππ
Pole dearAmeniuma huyu mkaka, couz namjua personal.
π’π’ππ
Sidhani, maana sijawahi kumuona akijihusisha na masuala hayo,duh alikua anajihusisha na siasa?
Ahsante dear, yaan inaogopesha mno.Pole dear
Mnanisingizia mimi Rostam azizi ki sihusiki na chochote hapo ..nipozangu huku serengeti nahesabu Tembo wangu kwenye mbugq yangu ya serengeti...maana bei ya meno ya tembo yameshuka sana duniani .Jina: Awezi Emedi Swalehe
Umri: Miaka 23
Anaishi: Mwananyamala, Dar es Salaam
Alichukuliwa: Sinza, Dar es Salaam
Habari mbaya sana. Mama mdogo wa kijana aliyeripotiwa kupotea amenipigia simu akiwa analia baada ya kubaini kuwa kijana wake ameuwawa.
Kwa mujibu wa taarifa alizonipa, mwili wa kijana huyo umeonekana katika Hospitali ya Mwananyamala. Inaelezwa kuwa alionekana kuwa amepigwa na kitu kizito kichwani.
Cha kushangaza, hospitali inadaiwa kuwa haijui ni nani aliyempeleka mwili huo, kwa sababu mtu aliyemleta hakujisajili.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, hospitali ilipokea mwili huo usiku wa tarehe 12 Septemba. Kijana huyo alichukuliwa nyumbani kwake na watu waliomfuata kwa pikipiki usiku wa tarehe 11 Septemba, majira ya saa 4.
Hivyo, familia inajiuliza: Je, aliuawa usiku huo huo wa tarehe 11, au tarehe 12? Na ni nani aliyempeleka mwili hospitalini bila kujitambulisha?
Familia bado ipo katika hali ya mshtuko mkubwa. Mama yake mdogo amekuwa akilia kiasi cha kushindwa hata kueleza vizuri kilichotokea.
Soma Pia: Arusha: Kijana anayedaiwa kuwa dereva bodaboda akutwa ameuawa shambani
Kijana Mwingine amepokonywa uhai wake, huu ujinga tukiufumbia macho TUTAISHA.
π«Ahsante dear, yaan inaogopesha mno.
Tell us more... please!Ameniuma huyu mkaka, couz namjua personal.
π’π’ππ
Hapo ndiyo watajua sikwenda china kushangaa magorofaSiku BICHWA KOMWE akitekwa Jamiiforums itatikisika.
Misingi itatetemeka.
TEETH.
Hospitali ina CCTV Camera, pia mwili ukipokelewa mochwari kuna registry....ovaJina: Awezi Emedi Swalehe