Kijana wa Mwananyamala aliyepotea, akutwa ameuwawa

Kijana wa Mwananyamala aliyepotea, akutwa ameuwawa

Nchi ipo katika kaana, halafu eti kazi na utu!! Kuna utu gani awamu hii? Hivi watu kuuawa, kutekwa na kubambikiwa kesi za uwongo , ndiyo utu?
 
What is the wrong with our Tanzania? 🇹🇿
😭😭😭
Tuna nchi mmoja tu
Tunatamani tuishi kadri Mungu alivyotupangia 😔

Difficult to understand. Something evil has come amongst us. Kuna vifo sio vya kawaida hata kidogo.....na kwa watu wasio na tishio lolote
 
Ila police ccm kwani oct 29 hamkutosheka na kuondoa roho za wasiokuwa na hatia??

Na kama c nyie mnausika na hii kadhia ya utekaji kwann msisimame kidete kuitokomeza kama mlivyopambana oct 29 kuwalindia wakubwa wenu vyeo aiseee...
 
Ndiyo imepita hiyo, sio mtoto wa mkuu imeenda hiyo.

Madogo wanapukutika tu
 
Back
Top Bottom