Kijana wangu ana mafindofindo (Tonsils). Tunashindwa kuelewa kama ni ugonjwa au ni maumbile yake.

Wabongo sijui kwanini hawataki kwenda Hospitali, au ni masharti ya Wagangq?

Mwanao anaumwa badala ya kwenda hospitali unakuja JF Kuuliza!
 
Sio allergy.

Masukari sukari yanaleta bakteria mdomoni wanaovamia mifuko ya tonsils na kusababisha infections hence uvimbe na inflammation.

Cc: DR Mambo Jambo

Good Sana I see now Y've Become a Good Doctor..
I am proud of You..

Umeona sasa ukielewa tu Haya mambo hayakusumbui
Acheni kubabiababia
halafu wewe dokta mzima unakubali ni sukari ndio tatizo
Mimi mtoto wangu alikuwa kila akipata viral infection zinavimba na hata siku moja hakuna dokta alisema inasababishwa na sukari halafu na pia iledhana ya kizamani kuwa vitu vya baridi ndio vinasababisha ilishatenguliwa zamani ndio kwanza docta alishauri apewe vyakula vya baridi kama frozen yoghurt
Lakini kumbe wanarekodi kila akipata viral infection na zikavimba, baada ya mara tano mfululizo, wakaamua kuzikatilia mbali na surgery, na wakati tunarudi nyumbani baada kukaa hospitali baada ya surgery, pia tulishauriwa vyakula vya baridi kusaidia maumivu, na sasa baada ya kukatwa hilo tatizo limekuwa ni historia

NB: Haya matukio hayakutokea bongonyoso, figure it out !
 
Hakuna Sehemu nimesema Sukari inasababisha Mkuu..

Nenda kwenye Sehemu niliyomquote na Niliyomsupport Bichwa komwe ni sehemu aliyoelezea kuhsu Inflamation of The tonsil and Infection nothing else..

Kama hujaJudge kitu kwamza Soma vizuri Tafuta sources ya Infomation then Quotes..

Kuhusu Tonsilitis na Peritonsillar Abscess husababishwa na Wide Range of thing ikiwemo Bacteria ambao ndo main Causative...

Kuhusu Sukari sukari huchangia Kupatikana kwa Dental Carries na Peridontal Condition zote...
Kwa sababu ya Build up plaque..

Kuhusu Sukari inaweza kuchangia magonjwa ya Kinywa Yes inaweza Iko hivi..

Sukari unayokula au kunywa ndo hufanya watu Kupata Dental caries (Matatizo ya Meno "Kutoboka and such").
Baada ya kula chakula Chenye Sukari, molecules za Sukari hu "combine" na mate na bacteria(baadhi ya Bacteria hufuata sukari huja) au bacteria (Normal flora) waliopo Mdomoni.

Sasa hiyo Combination hapo juu kati ya Bacteria na Sukari na Mate ndo husababisha kitu kinaitwa plaque.

Yaani kifupi ni hivi..
Bacteria ndani ya Hiyo plaque wanatumia sukari kama sources ya Energy yao na baadaye hutoa acid kama waste product, ambayo kidogo kidoho huyeyusha Kuta za Jino (enamel)...
Baada ya Kuyeyusha huweza kusababisha matobo.

Kutokana na Scenario niliyokupa Je Ulaji wa Sukari unaweza kusababisha Tonsilitis au Pengine Peritonsillar absces??

Ndyo Inaweza lakini Sio jibu la Moja kwa moja..
Dental Carries Inapokuwa Left untreated bacteria Huongezeka na Huongeza Koloni na huvamia Root ya hata sehemu ya Ndani ya Jino na Fuzi..

Hiyo husababisha Tonsils Kufanya Attack ya bacteria na Hujikuta Inakuwa Inflamed na Infection ya Bacteria Na huitwa Acute Tonsilitis...
Sijui kama umenielewa hapo chief..?

Kimsingi kuacha mabaki ya Chakula Mdomoni (Mabaki ha Sukari) bila kupiga mswaki kunaweza kuvuta Bakteria na kushambulia kinywa..

Asante
 
Acheni kubabiababia
halafu wewe dokta mzima unakubali ni sukari ndio tatizo
Mimi mtoto wangu alikuwa kila akipata viral infection zinavimba na hata siku moja hakuna dokta alisema inasababishwa na sukari halafu na pia iledhana ya kizamani kuwa vitu vya baridi ndio vinasababisha ilishatenguliwa zamani ndio kwanza docta alishauri apewe vyakula vya baridi kama frozen yoghurt
Lakini kumbe wanarekodi kila akipata viral infection na zikavimba, baada ya mara tano mfululizo, wakaamua kuzikatilia mbali na surgery, na wakati tunarudi nyumbani baada kukaa hospitali baada ya surgery, pia tulishauriwa vyakula vya baridi kusaidia maumivu, na sasa baada ya kukatwa hilo tatizo limekuwa ni historia

NB: Haya matukio hayakutokea bongonyoso, figure it out !

Acheni kubabiababia
halafu wewe dokta mzima unakubali ni sukari ndio tatizo
Mimi mtoto wangu alikuwa kila akipata viral infection zinavimba na hata siku moja hakuna dokta alisema inasababishwa na sukari halafu na pia iledhana ya kizamani kuwa vitu vya baridi ndio vinasababisha ilishatenguliwa zamani ndio kwanza docta alishauri apewe vyakula vya baridi kama frozen yoghurt
Lakini kumbe wanarekodi kila akipata viral infection na zikavimba, baada ya mara tano mfululizo, wakaamua kuzikatilia mbali na surgery, na wakati tunarudi nyumbani baada kukaa hospitali baada ya surgery, pia tulishauriwa vyakula vya baridi kusaidia maumivu, na sasa baada ya kukatwa hilo tatizo limekuwa ni historia

NB: Haya matukio hayakutokea bongonyoso, figure it out !
We nae mjinga kweli, tena mjinga kweli kwelii.

Tonsillitis inasababishwa na vijidudu na hakuna kingine.

Ukijua vidudu vinatokana na MASUKARI GURU wala huwezi kubinua tako na kupinga. Huu ndio ukweRi.

No sugar No tonsillitis.

Najua ulitaka niseme afanyiwe upasuaji na kudungwa machanjo.

Sasa NASEMAJEEE, hakuna cha machanjo wala upasuajii. Ni kuacha sukari tuuuu na tatizo kwisha. VERY SIMPLE.

Cc: DR Mambo Jambo
 
Back
Top Bottom