Kijana wangu miaka 11 kashaanza kutongoza na kujisifu handsome boy, kanistua sana, nichukue hatua zipi?

Mueke chini umpe ABCD na mhusie zaidi kuhusu magonjwa na kujikinga.

Usisahau kumsisitizia kuwa aache alichokianza sio muda wake, kwa sasa asome kwanza hayo mambo mengine atayakuta mbeleni na atafanya mpaka atachoka mwenyewe.
 
Tatizo wazazi tunadhana ya balahe Ina anza miaka 15 na kuendelea kumbe tunakosea sana kutokana na mfumo wa mabadiliko ya kidunia na vyakula tunavyo kula balehe Ina anza miaka 11 hivo ni wakati wa kuwa karibu na watoto wetu na kuwaongoza katika makuzi ya balehe
 
Mjusi hajawahi kuzaa nyoka mazee..😜
By the way, mtoto umleavyo ndio hivyo....🀨
 


Kwanini nyie watu weusi mkiingia katika balehe -mnakuwa mnawaza ngono na kupeana mimba.

Tofauti na sisi Jamii nyeupe
 
Yeye anajiona mkubwa wakati wewe unamuona mdogo, ongea naye tu kwa kina na umweleze ukweli kuhusu hiyo Barua aliyokuwa ameficha.
 
Jiridhishe..unaweza kukuta anatongozwa/tongoza mvulana mwenzie..na yeye anajisifia handsome akawa mhanga.
 
Kwamba anaangalia nyash πŸ˜€πŸ˜€
Wew babaake ilikuwaje kwenye ujanawako maana urithi huwaga na Zaid πŸ˜€
Labda nikuulize tu ushawahi kumskika Lunyamila? Au Ronado de lima orijino yule sio huyu mpya.. jibu unalo tayari πŸ˜‚
 
Mtoto ankuwa na hisia Zina nguvu kuliko nini
Inaonyesha wewe hukulitambua hilo Toka mapema

Me nakushauri achana na mwanao tafuta darasa zuri la malezi ya hichi kizazi maana nitofauti sana na kizazi ulichokulia wewe
 
achana na mboko ni ujinga we ongea nae as a friend
 
Katakuwa kashoga kama kameanza jiona kazuri.
Mwanaume hupaswi jiona mzuri
 
Mimi ninhemsisitiza tu kutumia kondom na awe na mpenzi mmoja.

Wenzio wanalia, vitoto vya kiume vimegeuzwa bwabwa.
 
Nakushauri kwanza Fuatilia binti anaemtongoza ni nani ukute ni mtu mzima!

Kaa nae chini balehe zinawahi siku hizi oooh .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…