Kijana wangu miaka 11 kashaanza kutongoza na kujisifu handsome boy, kanistua sana, nichukue hatua zipi?

Mkuu Uncle bright ulimwengu ushaharibika, vitoto vingi vya miaka 7-10 vimeharibika sana kupitia maudhui ya kingono/kishoga toka kwenye movie/tamthilia.

Ulimwengu wa sasa, bila kufanya maagano ya kukilinda kizazi chako na ushenzi ni ngumu sana kupata kizazi bora.
 
Mtafutie na kadi ya ccm ili asajiliwe rasmi kwenye chama cha mafirauni.
 
Unapaswa uzungumze na mwanao kila kitu nje na ndani, ngono ni nini na ushoga ni nini.. madhara gani anaweza kupata na kwann asubirie wakati wake ..
Kila kitu kiwe wazi wazi...

Ukiacha duniani imfundishe utampoteza
 
Kick hisass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…