Kijana wetu amepotea, tunaomba msaada kwa atakayemuona

Kijana wetu amepotea, tunaomba msaada kwa atakayemuona

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Habari Ndugu zangu, kama taarifa inavyo eleza, kijana huyu amepotea, haonekani.

Wakazi wa Dar es salaam, Msaada kwa atakaye muona au kusikia taarifa zake.

IMG-20240604-WA0005.jpg
 
Dah umri huu mtu anapotea kweli!

Hamjawahi kumuona na lishangazi lolote?

Asiwe anafugwa kimya kimya, huku nyinyi mkitumia nguvu kubwa kumtafuta.

Labda amepata madhira maana hujafa hujaumbika. Kama haonekani bila sababu ya msingi, basi amepotea. Nini kimemfanya asipatikane, hilo ni suala jingine ambalo halina majibu bado
 
Labda amepata madhira maana hujafa hujaumbika. Kama haonekani bila sababu ya msingi, basi amepotea. Nini kimemfanya asipatikane, hilo ni suala jingine ambalo halina majibu bado
Kweli kabisa bado hakuna majibu, hasa mtu mzima akipotea maswali yanakuwa mengi
 
Mkuu ushasema mtu amepotea then unawaambia kwa wakazi wa dar es salaam unakua unakosea mtu aliepotea anaweza kua sehem yyte ya tanzania mda huu hata nje ya TZ ila natumaini atakua mahali salama
Huyo naye hajui namna ya kufikisha taarifa kwa ufasaha.
 
Derrick Dennis
Kijana mpole na mstaarabu
Classmate PCB class of 2019-2021, Runzewe High school, Geita
I can't guess correctly what happened maana ni mpole, mshikadinj na asie na makuu
By way, Mungu amuokoe na dhahama iliyomkuta na asaidie apatikane haraka
Pole kwa familia 🙏🙏
 
Kama yupo mahala basi ajitokeze apunguze wasiwasi kwa ndugu na jamaa zake.
Poleni
 
Back
Top Bottom