Kijana wetu amepotea, tunaomba msaada kwa atakayemuona

Kijana wetu amepotea, tunaomba msaada kwa atakayemuona

Sema macho ya njano sana. Ni kama mtu mgonjwa sana. Labda yupo hoi hospitali(Mungu epusha)
 
Nimesoma nae darasa moja, nikakaa nae group moja la msosi (wote tulikuwa hatutumii nyama) na tulikuwa tukisali wote
Ni mpole, Hana makuu
Sijui nini kitakuwa kinemkuta!? 🤔
Wengi hatujui nini kimemkuta, pia hakuwa mtu wa marafiki wengi hivyo hakuna anaye fahamu ni wapi alikwenda mpaka sasa
 
Poleni sana....
Hakuwa na dalili zozote za suicide ideation?
 
Dah umri huu mtu anapotea kweli!

Hamjawahi kumuona na lishangazi lolote?

Asiwe anafugwa kimya kimya, huku nyinyi mkitumia nguvu kubwa kumtafuta.
Mkuu tunamsaka kijana wetu bana
Haya mashangazi huwa hawateki mtu bana labda awe na ndoa yake😀
 
isije kuwa imani imekolea kaamua kwenda kufunga siku 40 milimani huko
 
Back
Top Bottom