Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Sahihi mkuu, sio dar tu, hata maeneo mengine pia Msaada wao unahitajika.Mkuu ushasema mtu amepotea then unawaambia kwa wakazi wa dar es salaam unakua unakosea mtu aliepotea anaweza kua sehem yyte ya tanzania mda huu hata nje ya TZ ila natumaini atakua mahali salama
Kama amefungiwa, basi taarifa zimfikie aliye mfungia kwamba kijana wetu tunamuhitaji.Dah umri huu mtu anapotea kweli!
Hamjawahi kumuona na lishangazi lolote?
Asiwe anafugwa kimya kimya, huku nyinyi mkitumia nguvu kubwa kumtafuta.
Kweli kabisa, na kesi juu ya kumfungia mwanafunzi.Kama amefungiwa, basi taarifa zimfikie aliye mfungia kwamba kijana wetu tunamuhitaji.
Habari Ndugu zangu, kama taarifa inavyo eleza, kijana huyu amepotea, haonekani.
Wakazi wa Dar es salaam, Msaada kwa atakaye muona au kusikia taarifa zake.
View attachment 3008048
Dah umri huu mtu anapotea kweli!
Hamjawahi kumuona na lishangazi lolote?
Asiwe anafugwa kimya kimya, huku nyinyi mkitumia nguvu kubwa kumtafuta.
Kweli kabisa bado hakuna majibu, hasa mtu mzima akipotea maswali yanakuwa mengiLabda amepata madhira maana hujafa hujaumbika. Kama haonekani bila sababu ya msingi, basi amepotea. Nini kimemfanya asipatikane, hilo ni suala jingine ambalo halina majibu bado
Huyo naye hajui namna ya kufikisha taarifa kwa ufasaha.Mkuu ushasema mtu amepotea then unawaambia kwa wakazi wa dar es salaam unakua unakosea mtu aliepotea anaweza kua sehem yyte ya tanzania mda huu hata nje ya TZ ila natumaini atakua mahali salama
Kikubwa taarifa imefika.Huyo naye hajui namna ya kufikisha taarifa kwa ufasaha.
Mbali wapi tena mkuu, au uliwahi kumuona maeneo ya mbali?Duhhhh....
Nimejikuta nawaza mbali sana...
Kwamba labda hatunae?Duhhhh....
Nimejikuta nawaza mbali sana...
Sumalia si rahisi. Huyu hawez hitajika kuleKwamba labda hatunae?
Au huyu labda amepotelea sumalia
Wanabadiligi jina hao. Tena wanakuwa wabaya kuliko wenyejiSumalia si rahisi. Huyu hawez hitajika kule