Kijana wetu amepotea, tunaomba msaada kwa atakayemuona

Kumbe unamfahamu mwamba, jamaa kweli ni mpole sana. Mungu atafanya wepesi atapatikana na kama ukiweza tafadhali sambaza ujumbe huu kwa watu wengine wa karibu
 
Hayo macho anaonekana kama vile anatumia lile jani la Jamaica,

Anzieni vituo vya Polisi mkuu.
 
Komenti za watu ni za kusikitisha sana au kwa sabb nyie hamjakutana na scenario kama izo kwa ndugu zenu?
 
Huyo jamaa jana jioni majira ya saa 1 nimekutana nae kimara kalewa chakarii kavaa pensi na singlendi nyeupe.
 
Kumbe unamfahamu mwamba, jamaa kweli ni mpole sana. Mungu atafanya wepesi atapatikana na kama ukiweza tafadhali sambaza ujumbe huu kwa watu wengine wa karibu
Nimesoma nae darasa moja, nikakaa nae group moja la msosi (wote tulikuwa hatutumii nyama) na tulikuwa tukisali wote
Ni mpole, Hana makuu
Sijui nini kitakuwa kinemkuta!? 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…