- Thread starter
- #41
Ok sawa mkuu nitakuchekiOk sawa mkuu naomba mawasiliano yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok sawa mkuu nitakuchekiOk sawa mkuu naomba mawasiliano yako
Ok sawa mkuu asante sana 🙏good idea kijana . natumaini ukiumiza kichwa zaidi utakuja na plan bora zaidi ya kujikwamua na huu umasikini . Goodluck
Asante sana kaka kuhusu mteja kutokuwa muaminifu itakuwa changamoto ya kaziUnaweza kuwa na uaminifu huo lakni jamii kubwa inayotuzunguka na matukio yaliyotokea na yanayotokea watu kukuamini ni kazi sana mkuu.
Uaminifu unawezakuwa nao wewe shida ikaja kwa mteja wako akawa siyo mwaminifu..
Usikate tamaa mkuu! Mola akufanyie wepesi.
Kila bidhaa za aina moja ni 3000 zikiwa aina nyingine 3000 jumla 6000 kuhusu gharama za usafiri ni juu yako unaniagiza kazi yangu ni kukufikishia sehemu husika natumain umenielewa mkuuUngeweka kila kitu wazi kwa mfano unasema kila bidhaa 3,000 hapo bora ungeweka kwa Kg maana kama ni bidhaa nikikutuma mashine kubwa utachaji 3,000?
Na usafiri vipi kwa mizunguko ya Dar
Maana tunaijua labda uwe na usafiri wako
Ila bado hujaeleza mengi
Kuuendea mzigo na kuupeleka kwa wakala unatoza hiyo 3,000 au zaidi?
No ya simu hiio hapo boss 0658820041Sasa umeandika maelezo yoote. Afu hujaweka namba ya simu. Tuanze na uaminifu namba ya simu iweke hapa hapa na sio inbox.
Ziko wapi mkuu?Kijana kama huna kazi njoo nikupe heka 3 ulime chochote utakacho,mazao wengine yanaendelea kutupa utajiri!
Uwe na mtaji mtum akiagza unanua nakumpelekea.Utalipwa on delivery.
Ok sawa mkuu asante sana maneno yako yamenitia moyo 🙏Acheni kudiscourage vijana wanaopambana, unajua huku Africa mambo hovyo Kila mtu ni kuingiza fitna katika Kila jambo...
Mkuu wewe pambana nenda na Facebook, na Instagram uwe na official page utatoboa, kuwa na Imani sali sana utatoboa.
Kumbuka Ili ufanikiwe ukiwa Africa haitegemei ufanisi wala ubora wa bidhaa/huduma...
Inategemea uimara wako kiroho...
Utafanikiwa, kina Alibaba na Amazon zilianza Kwa uchanga...
Asante sana mkuu pia nitazingatia ushauri wako 🙏Wazo zuri -Good idea
Kuna watu huitwa negative people hawa huwa wanakosoa kila kitu huwa hawapendi kuona start up ya MTU.
Then kuna watu huitwa positive people hawa huwa wanaelewa uhalisia wa maisha .
Hivyo keep God first na usimjibu MTU anayekusoa bali yule anayekupa constructive criticism.
Utafanikiwa .