Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka kuniagiza kitu

Asante sana kaka kuhusu mteja kutokuwa muaminifu itakuwa changamoto ya kazi
 
Kila bidhaa za aina moja ni 3000 zikiwa aina nyingine 3000 jumla 6000 kuhusu gharama za usafiri ni juu yako unaniagiza kazi yangu ni kukufikishia sehemu husika natumain umenielewa mkuu
 
Acheni kudiscourage vijana wanaopambana, unajua huku Africa mambo hovyo Kila mtu ni kuingiza fitna katika Kila jambo...

Mkuu wewe pambana nenda na Facebook, na Instagram uwe na official page utatoboa, kuwa na Imani sali sana utatoboa.

Kumbuka Ili ufanikiwe ukiwa Africa haitegemei ufanisi wala ubora wa bidhaa/huduma...

Inategemea uimara wako kiroho...

Utafanikiwa, kina Alibaba na Amazon zilianza Kwa uchanga...
 
Ok sawa mkuu asante sana maneno yako yamenitia moyo 🙏
 
Wazo zuri -Good idea

Kuna watu huitwa negative people hawa huwa wanakosoa kila kitu huwa hawapendi kuona start up ya MTU.

Then kuna watu huitwa positive people hawa huwa wanaelewa uhalisia wa maisha .

Hivyo keep God first na usimjibu MTU anayekusoa bali yule anayekupa constructive criticism.

Utafanikiwa .
 
Asante sana mkuu pia nitazingatia ushauri wako 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…