- Thread starter
- #21
Rejea ripoti ya CAGHizi ni tuuma nzito Kwa Kweli tusaidie taifa embu tusaidie ku orodhesha hao vijana Ili umma wa Watanzania tuwafahamu.........
Wasalaam
Wezi ni wanachama wa chama kipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rejea ripoti ya CAGHizi ni tuuma nzito Kwa Kweli tusaidie taifa embu tusaidie ku orodhesha hao vijana Ili umma wa Watanzania tuwafahamu.........
Wasalaam
Umesema ukweli mtupu!Nionyeshe rafiki yako nikwambie ulivyo!
Kila mwenye akili timamu katika nchi hii, anajua fika kabisa, ccm yote ni janga la nchi hii!
Mtu akitajwa fisadi, makao makuu ni ccm
Akitajwa mla rushwa, makao makuu ni ccm
Kijana uliyeko ccm, utakataaje msingi huu wa kizazi na kizazi?
Kijana wa ccm, unaipendea nini ccm kama sio ufisadi tu na kupenda maisha ya rushwa,
Kijana wa ccm, utawezaje kujiokoa na maroho ya ufisadi, rushwa n.k yanayomilikiwa na ccm?
roho ya ufisadi, imefugwa huko utaikwepaje?
maroho ya rushwa yamefugwa hapo makao makuu ya chama, utayaepukaje?
huwezi kuwa safi ndani ya ndoo ya samaki walioharika!
Kijana yeyote wa ccm lazima awe na maroho hayo na hana ujanja kuyaepuka,
Nahitimisha kusema hivi! Huwezi kutafuta ukombozi wa nchi ukiwa ndani ya majeshi yanayoikalia nchi, ni lazima ujitenge nao na uwe na jeshi ambalo litaenda kuyaondoa majeshi ovu ccm
Kuna mmoja anapost ujinga lakini kwenye huo ujinga lazima atawataja viongozi wa upinzani ukimuuliza anakwambia ni maadui wa taifa ghhhhhYule ana PHD ya ujinga