Kijerumani: Lugha yenye fursa

Kijerumani: Lugha yenye fursa

Katika watu nawachukia ni wajerumani, walitutawala lakini hawajawahi kutoa fair kwetu kama kulipa fadhila, mtz imekuwa ngumu kuingia ujerumani tofauti na wenzetu congo kuingia france
 
Katika watu nawachukia ni wajerumani, walitutawala lakini hawajawahi kutoa fair kwetu kama kulipa fadhila, mtz imekuwa ngumu kuingia ujerumani tofauti na wenzetu congo kuingia france
Sisi tuna taka fursa tu za kupata ajira kiongozi, mbona tunaishi nao hawana tatizo..history nyingi zinazo wahusu wazungu na ubaguzi wao nyingine zilihusu kipindi cha utumwa zaidi..siku hizi hayo mambo hakuna
 
Ndugu,
Karibu kujifunza lugha ya KIJERUMAN upate fulsa za kutosha katika maisha na kupata kipato kwaajiliya maisha.

1.kijeruman kama communication language.

2.kijeruman unaombea visa ubalozi,bila hii lugha yao ubalozi wa ujeruman hawakuelewi.

3.mashule mengi sasa wanatafuta walimu wa KIJERUMAN.

4.kijeruman kinakupa nafasi ya kufanya kazi za kujitolea kisha kuajiliwa kabisa Ujeruman

5.kijeruman kina wapa vijana kufanya Aur pair nchini ujeruman. Kwa mkataba wa mwaka mmoja mmoja euro 800 kwa mwezi.

6.hawezi kusoma chuo nchini ujeruman kama haujui lugha yao ili ulipwe kama mwanachuo.

7.kinahitajika mahotelin na kwenye utalii kwa sasa.

Sasa sisi tumeamua kwenda nyumba nyumba kwa hapa Dar es salaam tu.
Tupigie kwa namba 0715784787 tukuhudumie
Unatoa B1, B2 au
 
Back
Top Bottom