Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Kichina utasemaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Liebe Kollegen,Kichina utasemaje
Sisi tuna taka fursa tu za kupata ajira kiongozi, mbona tunaishi nao hawana tatizo..history nyingi zinazo wahusu wazungu na ubaguzi wao nyingine zilihusu kipindi cha utumwa zaidi..siku hizi hayo mambo hakuna
Gut danke,Hallo guten abend mein Bruder, Vielen dank. Ich komme aus Dar es salaam, woher kommst du?
Kuajiriwa, sio kuajiliwa4.kijeruman kinakupa nafasi ya kufanya kazi za kujitolea kisha kuajiliwa kabisa Ujeruman
Sorry mkuu ,makabira yanatesa" r" na lKuajiriwa, sio kuajiliwa
Ajira huzaa neno ajiriwa. Sio ajiliwa.
Kiswahiki kinakusumbua ndio ufundishe Lugha za wengine ?
Juice na maadazi ya Bakheresa ilimpasa ale mwenyewe kwani yeye hana njaa lakini ameleta mpka vijijini...Kama wewe umekijua kijerumani kwanini usitumie hzo fursa zote ulizozitaja badala yake unataka kampeni ya nyumba kwa nyumba ukafundishe?
Wabongo wagumu sana kulewa..taarifa imesema kwa Dar tu ,anaaza kuuliza tena..Si uweke kil kitu apa ili mtu aamue kama anapiga simu au hapana...weka bei,unapopatikana na jinsi gan unafundisha.Mimi nilioko naguruku uku utakuja kunifundishia home?
pole sana mkuuSorry mkuu ,makabira yanatesa" r" na l
Simu ipo juu pale mkuu soma mpaka mwisho plzSi uweke kil kitu apa ili mtu aamue kama anapiga simu au hapana...weka bei,unapopatikana na jinsi gan unafundisha.Mimi nilioko naguruku uku utakuja kunifundishia home?
Kijana kati ya miaka 18 hadi 35 nawatangazia fulsa kubwa ya kujifunza lugha adhimu ya KIJERUMAN,lugha hii kwa sasa imewapa vijana wengi ajira iwe ni nje ya nchi au humu ndani kwetu..
Mahija ya vijana walio na umri kati 18 na 35 ni makubwa sana nchini ujeruman tena kwa fani mbalimbali, niseme sisi tumechelewa sana,wenzetu wa Kenya na Waganda wameiona hii fulsa kwa muda mrefu sana na ndio maana kila ukifika nchi zenye uchumi mkubwa kama Ujeruman unawakuta ni wao tu wamejaaa, Acha kulala sasa changamkia hii lugha utakuja nikumbuka,usikae mtaani kuwa hakuna ajira njoo tuongee piga 0715784787
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
daadscholarship.com
en.life-in-germany.de