KERO Kijiji cha Mfurumwambao - Wilaya ya Mkuranga kuna ugawaji wa vibali vya uchimbaji mchanga kiholela

KERO Kijiji cha Mfurumwambao - Wilaya ya Mkuranga kuna ugawaji wa vibali vya uchimbaji mchanga kiholela

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kijiji cha Mfurumwambao kilichopo Wilaya ya Mkuranga kuna ugawaji wa vibali vya uchimbaji mchanga kiolela, kama sehemu nilipo wanachimba mchanga maeneo makubwa na kusababaisha mashimo makubwa sana ambayo yamekuwa tishio kwa watoto na wakazi wa huku.

Habari hii iwafikie viongozi maana tumeshafuatilia bila kutatuliwa changamoto zaidi wanaendelea kuongeza mashimo karibu na makazi yetu.

Bado wachonga barabara ili waanze tena kuchimba, ni kata ya Vianzi Kijiji cha Mfurumwambao alimaarufu kama kwa mzee Lyimo.
photo_2026-05-29_18-38-31.jpg
photo_2026-05-29_18-56-52.jpg
photo_2026-05-29_18-56-53.jpg
 
Taifa kwa sasa linajiendea tu. Kiongozi poleni sana.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom