wilaya ya mkuranga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kata ya Mbezi Kijiji - Msufini Kidete, Mkuranga tunalazimishwa kuuza maeneo kwa Wachina kwa bei ndogo

    Mimi ni mmoja wa wamiliki wa maeneo ya viwanja na nyumba yaliyopo Kata ya Mbezi, Kijiji cha Msufini Kidete, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Maeneo yetu yamekuwa yakihitajika na wawekezaji kutoka China wanaopanga kujenga kiwanda cha kutengeneza nondo. Hata hivyo, kinachotutia wasiwasi ni bei...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kijiji cha Mfurumwambao - Wilaya ya Mkuranga kuna ugawaji wa vibali vya uchimbaji mchanga kiholela

    Kijiji cha Mfurumwambao kilichopo Wilaya ya Mkuranga kuna ugawaji wa vibali vya uchimbaji mchanga kiolela, kama sehemu nilipo wanachimba mchanga maeneo makubwa na kusababaisha mashimo makubwa sana ambayo yamekuwa tishio kwa watoto na wakazi wa huku. Habari hii iwafikie viongozi maana...
Back
Top Bottom