Kijijini wananiita Daktari

Kijijini wananiita Daktari

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mtanesco bwana
 
Hiv mzee inawezekana kuingia mkataba na hawa mabepari wa jf? Wakulipe?

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
hakuna kinachoshindikana mkuu jf pia inatakiwa ichangamkeie fursa media km hii inaporuhusu vipaji vichukue nafasi kuna uwezekano mkubwa wa kuvutia watazamaji sana na wasomaji wengi sana east africa kujoin jf hii itasababiba makampuni mengi pia kuvutika kuleta matangazo yao humu km youtube unakutana na tangazo kwanza....ubunifu ni pesa..
 
Ha ha ha ile ilikuwa kiboko ila inafikirisha, just imagine umetoa hela ya mazishi na gharama zote ikiwemo video recording afu unakuja kuangalia CD hujioni, hata mimi ningekuwa ni uncle ningemind

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi amejirekodi yeye sehemu kubwa. Eti ameenda na camera man hadi nyumbani kwao achukuliwe mkanda. CD nzima kajaa yeye.
 
Back
Top Bottom