ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Usije ukaenda kijijini ukapata mwanamke kumbe ni mke wa mtu. Watu wa kijijini sio wastaarabu ndugu zangu watakuangalia wanakusomea nyendo zako usije kushangaa unatenganishwa kichwa kama kumbikumbi. Chunga sana unapoenda vijijini usijione wa mjini ukadhani wanawake watakaokushobokea ni kutaka hela tu. Mjini matumizi madogo maisha magumu kote maisha kila sehemu watu wajanja. Ukienda kijijini ukafanya umalaya utaonekana wewe ndo mshamba. Chunga chuga.