Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

Kwani Wewe ukiwa na Biashara ya a million 50 huwezi kuanzisha ya mil 3. Cha Msingi utakuwa unazimiliki zote hujaambiwa uchague moja.

Mchana anapiga Ziara ya kustukiza Makongo anakula Mzigo jioni anakuja kula cha halali Nyumbani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya mambo binafsi yeye na mkewe sie hatuhusu ima tu mkewe aje kulalamika huku ndo tutokwe na povu ila ni bora kuacha kufatilia mahusiano ya wengine
 
du kiongoz umeniburudisha kwa maneno yako ya used nzuri.Mwanamke kahaba hua ni wataalam wa mapenz
 
amejiuza south Africa mpaka wamemchoka huyo aliempamgishia nyumba huko Makongo sijui ana akili gani aisee....kiongozi mzima kumpangishia nyumba huyu ni kujidhalilisha tu
Aibu..sijui ni ushamba??

Yani mimi nikapangishie nyumba wema,masogange na wengine wa aina hiyo..labda niwe sina akili!
 
Alafu iyo sauti kwenye hiyo video kama ya madereva [emoji849][emoji3]
Juu ndo umbeya persay.kivideo ujakiona ila ume comment,hiki sio kile alichopost mange mkuu hiki ni kingine!!
 
Ila wema kweli kiboko yao ameona hawezi kuaibika mwenyewe nae kamuaibisha mungu wa Dar.. muuza unga asie na kidhibiti cha unga bali bangi na mfuga malaya anaejinasibu ni mungu mtu.. movie tamu.
 
Uongozi ni kazi kweli..

Hivi mke wa mpambanaji wetu, mungu wa dar akisikia tuhuma za huyu binti kupangiwa kajumba anapika kweli??
Wife akionyweshwa hiyo video ya Maso, na muziki wa 'moyo sukuma damu' unasikika kwa mbaali mwenyewe atakubali matokeo......sanasana atajikuta anauliza kwa unyonge 'mimi utaniacha?'
 
Mbona kabla hajasweka lumande hajawahi kuleta habari kama hii tuache ushabiki huyo maana Dada anawatoa kwenye msitari wa kesi yake
 
Wife akionyweshwa hiyo video ya Maso, na muziki wa 'moyo sukuma damu' unasikika kwa mbaali mwenyewe atakubali matokeo......sanasana atajikuta anauliza kwa unyonge 'mimi utaniacha?'
Atatishwa na huo mtaji unaonesea hapo nyuma?
Hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…